
![]() |
| Mh. Lowassa, akifurahia jambo na Mzee Borafia, mara baada ya kuwasili kisiwani Zanzinzibar, akitokea Mwanza |
| Lowassa, yuko Zanzibar kutafuta wana CCM wa kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25, 2015 |
![]() |
| Lowassa, akiongozana na Mbunge wa Kigoma Mjini, Peter Serukamba, alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Zanzibar Jumamosi Juni 6, 2015 |






