Dk Shein azindua Mashine ya kuvunia Mpunga

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,(wa sita kushoto)akiangalia  Mashine ya
Kuvunia Mpunga,(Combine Harvester) baada ya kufanya  uzinduzi wa
Mashine hizo,zilizonunuliwa na Serikali ya Mapinduzi zikiwa jumla 14

Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akiangalia Mpunga Ukitoka
katika mashine ya Kuvunia Mpunga,(Combine Harvester) baada ya
kuzindua mashine hizo katika shamba la Kilimo la Serikali huko Bambi
Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo.[ Picha na Ramadhan
Othman,IKulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akiwasha Mashine ya Kuvunia
Mpunga,(Combine Harvester) ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa Mashine
hizo,zilizonunuliwa na Serikali ya Mapinduzi zikiwa jumla 14 katika
kuboresha hatua za Mapinduzi ya Kilimo,katika Shamba la Mbegu Bambi [ Picha na Ramadhan Othman,IKulu.]
Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

About The Author

Joachim Ernest Mushi, Kitaaluma ni mwanahabari muhitimu (Uandishi-2006) wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Taasisi ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma (IJMC) kwa sasa Shule Kuu ya Uandishi na Mawasiliano. Nimekuwa mwandishi wa habari za uchunguzi (Gazeti la Kulikoni & Thisday), Mwandishi mwandamizi Gazeti kongwe la Kiongozi, Mhariri wa Makala mwanzilishi wa Gazeti la Jambo Leo. Kwa sasa ni Mhariri Mkuu Kiongozi wa Thehabari.com, nchini Tanzania.

Related posts

Leave a Reply

Your email address will not be published.