Pichani juu ni baadhi ya washindi wa tiketi za VIP wa Tamasha la Serengeti Fiesta wakipata picha ya Ukumbusho baada ya kuwasili kiwanja cha…
Continue Reading....Category: Matukio Katika Picha
Uongozi wa SBL Wazungumza na Washindi wa Tiketi za VIP Serengeti Fiesta
Baadhi ya washindi wa tiketi za VIP wakipata picha ya pamoja katika kiwanda cha bia cha Serengeti. . Meneja wa mipango kwa wateja…
Continue Reading....Bonanza la Michezo kwa Watoto Yatima Dar
Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bi. Diana Melrose (kushoto) akipiga mpira kuashiria kuanza kwa Bonanza la mchezo wa mpira wa miguu lililohusisha vijana kutoka…
Continue Reading....Matukio Katika Picha Dk. Bilal Akizinduwa Kivuko Kigoma
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, na viongozi wengine wakitelemka katika kivuko hicho baada ya kukizindua na kuvuka nacho hadi…
Continue Reading....JK Afunga Mafunzo kwa Watendaji na Viongozi CCM Wilaya na Mikoa
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimpokea Mweneyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete alipowasili Makao Makuu ya CCM, Jengo la White House, mjini Dodoma, kufunga…
Continue Reading....