Mtafiti wa Magonjwa ya Binadamu kutoka Taasisi ya Utafiti ya Magonjwa ya Binadamu Tanzania (NIMR), Dk. Kijakazi Mashoto akiasilisha utafiti wake juu ya Ugonjwa wa…
Continue Reading....Category: Matukio Katika Picha
Mgonjwa wa Akili Aamua Kujenga Makazi Yake Nje ya Hospitali ya Magomeni!
Tatizo sio tu kwamba Mgonjwa huyo ameamua kujenga nyumba yake nje ya hospitali na Mamlaka husika kumuacha apete, bali pia nyumba yenyewe kama inavyoonekana kwenye…
Continue Reading....Mafuriko Ya Dar Yaleta Neema Kwa Baadhi ya Wakazi Wake!
Thehabari leo ilivinjari maeneo ya Mto Mzinga, eneo la kwa Mpalange, Manispaa ya Temeke, na kushuhudia biashara ya kuvusha watu ikiendelea kutoka upande mmoja wa…
Continue Reading....Je Huu ni Usafiri Kafiri Au..?
Pichani, ni wakazi wa jiji la Dar es Salaam kama walivyonaswa leo na mpiga picha wetu wakiwa kwenye heka heka za kuingia kwenye Daladala, ambalo…
Continue Reading....