CHUO Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kimetakiwa kuhakikisha kwamba wanatumia vyema kijiji cha kidigitali cha Ololosokwan katika kuhakikisha kwamba taifa linakuwa na uwezo…
Continue Reading....Category: Matukio Katika Picha
WADAU WA ELIMU WAKUTANA NA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE
Picha ya pamoja ya wadau wa elimu Tanzania na baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Bunge, huduma na Maendeleo ya Jamii baada ya kikao cha…
Continue Reading....TIBA MTANDAO KUANZIA OLOLOSOKWAN OKTOBA MWAKA HUU
WATU waliopembezoni ambao wamekuwa na shida kubwa ya kupata madaktari bingwa, wataanza kupata nafuu baada ya kuanza kwa mradi wa tiba mtandao unaoendeshwa kwa pamoja…
Continue Reading....Kundi la WhatsApp Lasaidia Wagonjwa wa Saratani, KCMC
Mabalozi wa Kundi la Mtandao wa Kijamii wa WhatsApp la Saratani Info wakiwa katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC tayari kutembelea kitengo cha Saratani katika Hospitali…
Continue Reading....Majerui Ajali ya Wanafunzi Lucky Vincent Wapelekwa Marekani
Mbunge wa jimbo la Singida Kaskazini,Lazaro Nyalandu akizungumza jambo na mmoja wa marubani wa shirika la Samaritan’s Purse kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro kabla…
Continue Reading....MWAKYEMBE AFAGILIA MASHINDANO YA DASANI MARATHON 2017
Mkurugenzi wa Michezo Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Yusufu Singo (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa mashindano ya…
Continue Reading....