Wafanyakazi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) wakishusha vifaa vya kufanyia usafi katika soko la Temeke Stereo jijini Dar es Salaam leo kumuunga mkono Rais…
Continue Reading....Category: Matukio Katika Picha
Wataalamu wa Manunuzi na Ugavi Wakutana Arusha…!
Mwenyekiti wa Bodi ya Wataalamu wa Manunuzi na Ugavi nchini(PSPTB)Dk Hellen Bandiho akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa mwaka wa Wataalamu unaofanyika kwenye ukumbi…
Continue Reading....Mpiga Picha Mkuu Gazeti la Jambo Leo Auaga Ukapera
Bibi harusi Mary Michael Mbaya (kushoto), akimvisha pete ya ndoa mume wake Richard Mwaikenda ambaye ni mpiga picha mkuu wa gazeti la Jambo Leo na…
Continue Reading....Mratibu UN Aridhishwa na Matumizi ya Ufadhili Tabora
Ofisa Kilimo na Ushirika wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga, Samaluku Joseas (kushoto) akisoma taarifa ya maendeleo ya miradi mbalimbali inayofadhiliwa na Mashirika ya Umoja…
Continue Reading....WWF Yaijengea Uwezo Halmashauri ya Jiji la Arusha
Mganga Mkuu wa Jiji la Arusha,Dk Bakari Salum akifungua mkutano wa Wasaa wa Mazingira(Earth Hour City Challenges)kwa watumishi wa halmashauri ya Jiji la Arusha unaowajengea…
Continue Reading....