WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa ameiomba Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Maendeleo Africa (AfDB), kuendelea kuiunga mkono Tanzania katika mkakati…
Continue Reading....Category: Habari za Teknolojia
Mtandao wa Jumia Tanzania Watoa Ofa kwa Wateja
MTANDAO unaotoa huduma za mauzo na manunuzi ya bidhaa kupitia intaneti nchini Tanzania ‘Jumia Market-Tanzania’ umetangaza ofa maalumu ya punguzo la bei…
Continue Reading....Serikali Yaunda Kamati Kuanzisha Tume ya TEHAMA
WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa, ameunda Kamati ya mpito ya kusimamia uanzishwaji wa Tume ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA)…
Continue Reading....Tanzania na Japan Kuanzisha Ushirikiano Katika Matumizi ya TEHAMA
Na. Aron Msigwa – MAELEZO Tanzania na Japan zinatarajia kuanzisha ushirikiano katika matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kwa kuwaunganisha wafanyabishara na vijana…
Continue Reading....Waziri Mbarawa Awataja TBA Kuzingatia Thamani ya Fedha
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, ameutaka Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kuzingatia thamani ya fedha kwa kila mradi wa ujenzi wa…
Continue Reading....