LIGI ya Taifa hatua ya fainali inaanza Agosti 6 mwaka huu kwenye Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga, ikishirikisha timu 12 zilizogawanywa katika makundi matatu ya…
Continue Reading....Category: Michezo
KOZI YA MAKAMISHNA WA MPIRA WA MIGUU
KOZI ya makamishna wapya kwa ajili ya Ligi Kuu ya Vodacom, Ligi Daraja la Kwanza, Ligi ya Taifa na Kombe la Taifa itafanyika ukumbi wa…
Continue Reading....Azam FC ziarani Uganda, Rwanda
TIMU ya Azam FC inatarajia kuondoka Jumatatu mchana na ndege ya Shirika la Ndege la Uganda kuelekea nchini Uganda na baadae Rwanda kukamilisha ziara yake…
Continue Reading....RUFANI YA SHINYANGA UNITED YATOLEWA UAMUZI
KAMATI ya Nidhamu na Usuluhishi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) chini ya Mwenyekiti wake Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Mstaafu Alfred Tibagana…
Continue Reading....Poulsen awaita 20 kuunda Stars
KOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Jan Poulsen ametangaza kikosi cha wachezaji 20 kwa ajili ya mechi ya kirafiki ugenini inayochezwa kwenye tarehe zinazotambuliwa na Shirikisho…
Continue Reading....Taswa waandaa bonaza la michezo miaka 50 ya uhuru
CHAMA cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) kimeandaa bonanza maalum la kuwapongeza wanamichezo mbalimbali waliopata kuiletea sifa nchi katika kipindi cha miaka 50…
Continue Reading....