Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 343

Category: Michezo

Tiketi za Simba na Yanga kuuzwa Kesho

Posted on: October 27, 2011 - jomushi
Tiketi za Simba na Yanga kuuzwa Kesho

Na Mwandishi Wetu TIKETI kwa ajili ya mechi namba 78 kati ya Yanga na Simba itakayochezwa Oktoba 29 mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es…

Continue Reading....

Msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania

Posted on: October 26, 2011 - jomushi
Msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania

WAKATI Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania ikiendelea Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) leo limetoa msimamo wa Ligi hiyo hadi kufikia Oktoba 25, kama…

Continue Reading....

Mpigie Geofrey Mwakibete kura ya ‘Mpiga Picha Bora wa Mitindo’

Posted on: October 26, 2011 - jomushi
Mpigie Geofrey Mwakibete kura ya ‘Mpiga Picha Bora wa Mitindo’

MPENZI mdau na msomaji wa mtandao huu, napenda kukufahamisha kuwa Geofrey Mwakibete wa MO BLOG amebahatika kuchaguliwa kuwa miongoni mwa washiriki wa shindano la SWAHILI…

Continue Reading....

Dk. Nchimbi apokea msaada wa mipira 300 toka Serikali ya China

Posted on: October 26, 2011 - jomushi
Dk. Nchimbi apokea msaada wa mipira 300 toka Serikali ya China

Benjamin Sawe, Maelezo- Dar es Salaam SERIKALI ya China imetoa msaada wa vifaa mbalimbali vya michezo kiwemo mipira 300 kwa Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni…

Continue Reading....

Chelsea kushtakiwa na FA

Posted on: October 26, 2011 - jomushi
Chelsea kushtakiwa na FA

CHAMA CHA SOKA cha England (FA) kimeishtaki Chelsea kwa kushindwa kuwadhibiti wachezaji wake katika mchezo dhidi ya QPR na kumtaka meneja Andre Villas-Boas kutoa ufafanuzi…

Continue Reading....

Man U, Arsenal zasonga mbele Carling

Posted on: October 26, 2011 - jomushi
Man U, Arsenal zasonga mbele Carling

Manchester United imesonga mbele na kuingia katika 16 za mwisho baada ya kuizaba Aldershot 3-0 katika mchezo wa raundi ya nne wa Kombe la Carling.…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari