Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 187

Category: Michezo

TFF Yatimiza Miaka 50 ya Uanachama FIFA, Kuwatunuku Vyeti Wadau

Posted on: October 9, 2014 - jomushi
Post Tags: TFF, Uanachama FIFA, Vyeti Kutunuku
TFF Yatimiza Miaka 50 ya Uanachama FIFA, Kuwatunuku Vyeti Wadau

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Oktoba 8 mwaka 2014 linaadhimisha miaka 50 ya kujiunga na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA).…

Continue Reading....

Mashindano ya Soka kwa Vijana Taifa Kufanyika Mwanza, Makocha 32 Kunolewa

Posted on: October 7, 2014 - jomushi
Post Tags: Makocha, Mashindano, Soka Vijana
Mashindano ya Soka kwa Vijana Taifa Kufanyika Mwanza, Makocha 32 Kunolewa

  MASHINDANO ya Taifa kwa vijana wenye umri chini ya miaka 12 yatafanyika Desemba mwaka huu jijini Mwanza. Akizungumza wakati wa kutangaza mpango wa programu…

Continue Reading....

Kuziona Taifa Stars na Benin Shs 4,000

Posted on: October 7, 2014October 7, 2014 - jomushi
Post Tags: Benin, Taifa Stars
Kuziona Taifa Stars na Benin Shs 4,000

KIINGILIO cha mechi ya Kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) kati ya Tanzania (Taifa Stars) na Benin (Squirrels) itakayochezwa Jumapili Oktoba…

Continue Reading....

Nyota wa Taifa Stars Watua, Yaingia Kambini

Posted on: October 6, 2014 - jomushi
Post Tags: Taifa Stars
Nyota wa Taifa Stars Watua, Yaingia Kambini

TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inaingia kambini Oktoba 6 mwaka huu kujiwinda kwa mechi ya Kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa…

Continue Reading....

Matokeo Ligi Kuu Tanzania Oktoba 5

Posted on: October 6, 2014 - jomushi
Post Tags: Ligi Kuu, Matokeo, Tanzania Bara
Matokeo Ligi Kuu Tanzania Oktoba 5

Matokeo Ligi Kuu Tanzania Oktoba 5 Mtibwa Sugar- 1 Vs JKT Mgambo- 0 Yanga-2 Vs JKT Ruvu -1

Continue Reading....

Uhamiaji Sports Club Yaifungisha Virago Ikulu SC

Posted on: October 6, 2014 - jomushi
Post Tags: Ikulu SC, SHIMIWI, Uhamiaji SC
Uhamiaji Sports Club Yaifungisha Virago Ikulu SC

Na Happiness Shayo – Morogoro TIMU ya soka ya Uhamiaji imeweka historia katika michezo ya SHIMIWI baada ya kuifunga timu ya soka ya Ikulu bao…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari