Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 165

Category: Michezo

Taasisi za NHIF na PPF Wamenyana Katika Bonanza la Pamoja

Posted on: September 6, 2015September 6, 2015 - jomushi
Post Tags: Bonanza
Taasisi za NHIF na PPF Wamenyana  Katika Bonanza la Pamoja

 Kipa wa timu ya soka ya Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, akichupa kuzuia mpira wa penati bila mafanikio wakati timu hiyo ilipomenyana na ile ya…

Continue Reading....

Stars Yawasili Uturuki

Posted on: August 24, 2015August 24, 2015 - jomushi
Stars Yawasili Uturuki

Tmu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro tayari imewasili salama nchini Uturuki katika mji wa Kartepe – Kocael leo mchana,…

Continue Reading....

Himo FC Waibuka Mabingwa Mbatia CUP 2015…!

Posted on: August 20, 2015 - jomushi
Post Tags: Mbatia CUP
Himo FC Waibuka Mabingwa Mbatia CUP 2015…!

  Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia akiwasili katika uwanja wa Himo Polisi kwa ajili ya kushuhudia fainali ya Mashindano ya Kombe la Jimbo,…

Continue Reading....

TFF Yataja Kiingilio Mpambano Yanga na AZAM FC

Posted on: August 19, 2015 - jomushi
Post Tags: Azam FC, Yanga SC
TFF Yataja Kiingilio Mpambano Yanga na AZAM FC

MCHEZO wa Ngao ya Hisani ambao ni sehemu ya ufunguzi wa pazi la Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) nchini kati ya Azam FC dhidi ya…

Continue Reading....

Taifa Stars Kutimkia Muscat Oman,TFF Yataja Waamuzi

Posted on: August 18, 2015August 18, 2015 - jomushi
Post Tags: Taifa Stars, TFF
Taifa Stars Kutimkia Muscat Oman,TFF Yataja Waamuzi

TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inatarajiwa kuondoka nchini siku ya jumamosi usiku kuelekea Muscat Oman, kucheza mchezo wa kirafiki kabla ya kuunganisha kuelekea…

Continue Reading....

Balozi Sefue Kuzinduwa Mashindano ya SHIMIWI 2015

Posted on: August 12, 2015 - jomushi
Post Tags: Mashindano, SHIMIWI
Balozi Sefue Kuzinduwa Mashindano ya SHIMIWI 2015

Na Mwandishi Wetu, MAELEZO-Dar es salaam KATIBU Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa michezo ya Wizara, Idara zinazojitegemea, Wakala…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari