Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 163

Category: Michezo

KIKAPU ARUSHA WATEMBEZA BAKULI.

Posted on: December 4, 2015 - Yohana Chance

Chama cha Mpira wa Kikapu Mkoa wa Arusha (ARBA), Kipo katika hali ya ukata mkubwa kiasi ambacho kilisababisa kushindwa kwenda kushiriki Michuano ya Taifa yaliyomalizika…

Continue Reading....

GARY NEVILLE APATA ZALI KLABU YA VALENCIA.

Posted on: December 3, 2015December 4, 2015 - Yohana Chance
GARY NEVILLE APATA ZALI KLABU YA VALENCIA.

Mchezaji wa zamani wa Klabu ya Manchester United na Timu ya taifa ya Uingereza Gary Neville ametangazwa kuwa Kocha mpya wa Klabu ya Valencia. Jina…

Continue Reading....

MONREAL AKIRI KUSHINDWA KUZUNGUMZA KINGEREZA

Posted on: December 3, 2015December 3, 2015 - Yohana Chance
MONREAL AKIRI KUSHINDWA KUZUNGUMZA KINGEREZA

Beki wa kushoto wa Timu ya Arsenal Nacho Monreal amesema kuwa anajisikia vizuri zaidi na amani anapokuwa katika uwanja wa Klabu hiyo Emerates Stadium. Monreal…

Continue Reading....

TFF YAPELEKA MAFUNZO YA UKOCHA ARUMERU.

Posted on: December 1, 2015 - Yohana Chance

Zaidi ya wanamichezo 40 wanategemea kunufaika na mafunzo ya awali ya ukocha wa mpira wa miguu yanayofanyika wilayani Arumeru Mkoani Arusha huku washiriki wa mafunzo…

Continue Reading....

VIJANA ARUSHA WANUFAIKA NA ELIMU YA MICHEZO KUTOKA KENYA.

Posted on: December 1, 2015December 1, 2015 - Yohana Chance
Post Tags: Mpira wa Miguu, soccer
VIJANA ARUSHA WANUFAIKA NA ELIMU YA MICHEZO KUTOKA KENYA.

Kituo cha kukuza mchezo wa mpira wa Miguu kutoka nchini Kenya cha Trans Nzoia Youth Sports Association ( TYSA) kimetua Mkoania Arusha na kusaidia baadhi…

Continue Reading....
Posted on: November 29, 2015 - jomushi

Na Muhidin Sufiani, Dar Timu ya Ofisi ya Makamu wa Rais, VPO Sports Club, jana Nov 28, 2015 imetwaa kombe la bonanza maalum lililoandaliwa kwa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari