Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 158

Category: Michezo

Chelsea Yafumuliwa, Leicester City Yarudi Kileleni

Posted on: December 15, 2015 - Yohana Chance
Chelsea Yafumuliwa, Leicester City Yarudi Kileleni

Klabu ya Leicester City Usiku wa leo imefanikiwa kurudi Kileleni mwa ligi kuu England baada ya kuifunga Chelsea bao 2-1 na kufanikiwa kuipiku Arsenal iliyokua…

Continue Reading....

UEFA: Arsenal Mdomoni mwa Barcelona, Chelsea na PSG

Posted on: December 14, 2015 - Yohana Chance
UEFA: Arsenal Mdomoni mwa Barcelona, Chelsea na PSG

Klabu ya Arsenal ya Uingereza imepangwa na Barcelona ya Uhispania, ambao ndio mabingwa watetezi, kwenye hatua ya 16 bora Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya. Mechi…

Continue Reading....

TPLB Yampongeza Nape Kuwa Wazuri wa Michezo.

Posted on: December 14, 2015 - Yohana Chance
TPLB Yampongeza Nape Kuwa Wazuri wa Michezo.

Mwenyekiti wa Bodi ya TPLB Yahya Hamad amesema kwa Bodi hiyo inapenda kutoa pongezi za jumla kwa uongozi imara wa nchi yetu, uliofanikisha kukamilisha uchaguzi…

Continue Reading....

Droo ya EUFA Kufanyika Leo Uswisi.

Posted on: December 14, 2015 - Yohana Chance
Droo ya EUFA Kufanyika Leo Uswisi.

Hatma ya vilabu vya Uingereza katika Michuano ya Klabu Bingwa Ulaya Itajulikana leo mara baada ya kufanyika kwa Droo hiyo mjini Uswisi. Mechi za raundi…

Continue Reading....

TP Mazembe Watolewa Michuano ya Vilabu Dunia.

Posted on: December 14, 2015 - Yohana Chance
TP Mazembe Watolewa Michuano ya Vilabu Dunia.

wawakilishi wa Afrika katika michuano ya kombe la Dunia la Vilabu iliyoanza Disemba 10 nchini Japani,Klabu ya PT Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo…

Continue Reading....

The Game Atoa Somo Kwa Wanawake Weusi.

Posted on: December 12, 2015 - Yohana Chance
The Game Atoa Somo Kwa Wanawake Weusi.

Siku ya jana, mwanamuziki The Game ameandika katika mtandao wake wa Instagram akiwaelimisha wanawake weusi jinsi ya kuishi na kujithamini kama mwanamke. Mwanamuziki huyo alisema…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari