Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 154

Category: Michezo

Ratiba Kamili Ligi Kuu Uingereza Mwishoni Mwa Wiki

Posted on: December 25, 2015 - Yohana Chance
Ratiba Kamili Ligi Kuu Uingereza Mwishoni Mwa Wiki

Ligi kuu ya soka ya England inatarajia kuendelea tena mwishoni mwa wiki hii kwa michezo kadhaa katika viwanja mbalimbali. Mechi hizo ni pamoja na mchezo…

Continue Reading....

Meneja wa Liverpool Jurgen Kloo Adai Ratiba Imewakalia Vibaya

Posted on: December 25, 2015 - Yohana Chance
Meneja wa Liverpool Jurgen Kloo Adai Ratiba Imewakalia Vibaya

Kocha wa Timu ya Liverpool Jurgen Klopp amelalamikia mfululizo wa mechi wakati wa sikukuu ya Krismasi hadi kuingia Mwaka Mpya ya Ligi Kuu England akidai…

Continue Reading....

Woods Kurejea Kwa Kishindo Dimbani

Posted on: December 23, 2015 - Yohana Chance
Woods Kurejea Kwa Kishindo Dimbani

Mwanamichezo nguli aliyewahi kuwa mcheza golf namba moja duniani Tiger Woods, amesema kwamba ana matarajio ya kushinda michuano mikubwa zaidi katika kipindi cha miaka kumi…

Continue Reading....

Michuano ya Mapinduzi Kuanza Januari 2

Posted on: December 23, 2015 - Yohana Chance
Michuano ya Mapinduzi Kuanza Januari 2

Mashindano ya Mapinduzi yanayofanyika kila mwaka visiwani Zanzibar yanatarajia kuanza kufanyika Januari 2 kwa kushirikisha timu kutoka Tanzania Bara, Kenya na Uganda. Katibu Mkuu wa…

Continue Reading....

FIFA Bado Yanuka Rushwa, Tokyo Ahojiwa

Posted on: December 22, 2015 - Yohana Chance
FIFA Bado Yanuka Rushwa, Tokyo Ahojiwa

Mmoja wa wagombea wa kiti cha Urais wa shirikisho la soka duniani FIFA Mosima Gabriel “Tokyo” Sexwale raia wa Afrika Kusini, amehojiwa kuhusiana na madai…

Continue Reading....

Maandalizi Michuano ya CHAN Yakamilika Nchini Rwanda

Posted on: December 22, 2015 - Yohana Chance
Maandalizi Michuano ya CHAN Yakamilika Nchini Rwanda

Rais wa Shirikisho la Soka Rwanda (FERWAFA) na Mkuu wa Kamati ya Ndani ya Maandalizi (LOC) ya Michuano ya Ubingwa wa Mataifa wa Afrika (CHAN),…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari