Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 143

Category: Michezo

Imegoma Goetze Kurejea Uwanjani Februari

Posted on: January 13, 2016 - Yohana Chance
Imegoma Goetze Kurejea Uwanjani Februari

Mabingwa wa Bundesliga Bayern Munich bado wataendelea kuzikosa huduma za kiungo wa Ujerumani Mario Goetze wakati mzunguko wa pili ya msimu wa ligi kuu ya…

Continue Reading....

Dortmund: Pierre Aubemeyang Hatoki Hapa

Posted on: January 13, 2016 - Yohana Chance
Dortmund: Pierre Aubemeyang Hatoki Hapa

Uongozi wa Klabu ya Ujerumani Borussia Dortmund imemaliza uvumi kwamba mshambuliaji wa Gabon Pierre-Emerick Aubemeyang huenda akaihama kilabu hiyo katika dirisha la uhamisho mwezi huu.…

Continue Reading....

Simba Sc Kumlipa Kerr Mamilioni Kwa Kuvunja Mkataba

Posted on: January 13, 2016 - Yohana Chance
Simba Sc Kumlipa Kerr Mamilioni Kwa Kuvunja Mkataba

Uongozi wa klabu ya Simba SC umevunja mkataba na aliyekuwa kocha mkuu wa kikosi cha ‘wana Msimbazi’ Dylan Kerr kwa baada ya makubaliano ya pande…

Continue Reading....

Mtibwa Uso Kwa Uso na URA Fainali Mapinduzi Cup Leo

Posted on: January 12, 2016January 13, 2016 - Yohana Chance
Mtibwa Uso Kwa Uso na URA Fainali Mapinduzi Cup Leo

Baada ya Simba na Yanga Kutupwa Nje ya michuano ya Mapinduzi inayohitimishwa leo huko Zanzibar Katika uwanja a Amaan ambapo sherehe zinafanyika, Timu ya Mtibwa…

Continue Reading....

Mchumiatumbo, Mwakalebela Kuzichapa Januari 30

Posted on: January 12, 2016 - Yohana Chance
Mchumiatumbo, Mwakalebela Kuzichapa Januari 30

BONDIA Alphonce Mchumiatumbo amesaini mkataba wa kuzipiga na Benki Mwakalebela january 30 katika ukumbi wa sativa Kyela Mkoani Mbeya mpambano huo wa raundi nane wa…

Continue Reading....

Simba SC Kulipwa Hela Zao Na Etoile du Sahel Ndani ya Siku Sitini

Posted on: January 12, 2016 - Yohana Chance
Simba SC Kulipwa Hela Zao Na Etoile du Sahel Ndani ya Siku Sitini

Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) iliyokutana Disemba 15 mwaka jana, imeiagiza klabu ya Etoile du Sahel ya Tunisia kuilipa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari