MAELFU ya watu wamekusanyika katika mji wa Bethlehem kwenye Mamlaka ya Wapalestina kusheherekea sikukuu hiyo. Mji huo unaaminika kuwa ndiko pahala alikozaliwa masiha bwana yesu…
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
Mandela Kusalia Hospitalini Krismasi
Serikali ya Afrika Kusini imetangaza kuwa aliyekuwa rais wa nchi hiyo Nelson Mandela atasalia hospitalini msimu huu wa Krismasi. Bwana Mandela ambaye ni rais mweusi…
Continue Reading....Makaburi zaidi yavunjwa Timbuktu
Taarifa kutoka kaskazini mwa Mali zinaeleza kuwa wapiganaji wa Kiislamu wamevunja makaburi kadha ya kale katika mji wa Timbuktu. Wapiganaji wax Kiislamu nje ya Timbuktu…
Continue Reading....Wapiganaji wa CAR wasonga mbele
Wapiganaji katika Jamhuri ya Afrika ya Kati wameuteka mji wa Bambari, mji wa tatu kwa ukubwa. Huo ni mji wa sita kutekwa na wapiganaji hao…
Continue Reading....Baragoi Kenya wavamiwa na kuporwa mifugo
HABARI kutoka Kenya zinasema watu wanaotuhumiwa kuwa majambazi wamevamia kijiji kimoja karibu na mji wa Baragoi, kaskazini magharibi mwa Kenya na kuiba mamia ya mifugo.…
Continue Reading....Ndege ya UN yashambuliwa Sudan Kusini
UMOJA wa Mataifa umesema helicopta kutoka kwa kikosi chake cha kutunza amani Sudan Kusini imeangusha na jeshi la nchi hiyo na kuwaua watu wanne waliokuwa…
Continue Reading....