KIONGOZI wa wapiganaji wa kundi la M23 Mashariki mwa Jamhuri ya Demokrasi ya Congo ametangaza kuwa watasitisha mapigano katika vita vyao na Jeshi la Serikali.…
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
Kiongozi wa Taliban Auawa Nchini Pakistan
SHAMBULIZI la ndege ya Marekani inayoruka bila rubani limefanikiwa kumuuwa kiongozi wa Taliban, Hakimullah Mehsud nchini Pakistan. Mehsud alitwaa madaraka baada ya mtangulizi wake kuuawa…
Continue Reading....Basi ‘Laigonga’ Treni Kenya, 12 Wafariki Dunia
WATU 12 wamefariki dunia baada ya treni ya abiria kuligonga basi lililokuwa likivuka reli jijini Nairobi, Kenya. Shirika la Msalaba Mwekundu la Kenya limesema watu…
Continue Reading....Prof Kaimenyi Ataka Kubadilishana Matokeo ya Utafiti
Na Anne Kiruku, EANA, Arusha WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia wa Kenya, Profesa Jacob Kaimenyi amewataka washiriki wa mkutano wa mwaka huu wa Jukwaa…
Continue Reading....Serikali ya Kabila Kumzika Tena Mobutu Sese Seko Nchini Congo
SERIKALI ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, imesema itahamisha mabaki ya mwili wa aliyekuwa rais wa nchi hiyo Mobutu Sese Seko kufuatia makubaliano na familia…
Continue Reading....