Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Kimataifa
  • Page 21

Category: Habari za Kimataifa

Magonjwa Kama Ebola Kuendelea Isumbua Dunia-UN

Posted on: May 8, 2015 - jomushi
Post Tags: Dunia-UN, Ebola, Magonjwa
Magonjwa Kama Ebola Kuendelea Isumbua Dunia-UN

NAIBU Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), J. Eliasson ameliambia Jopo la Watu Mashuhuri linaloongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya…

Continue Reading....

Vurugu za Ubaguzi Afrika Kusini; Nigeria Yaondoa Mabalozi Wake

Posted on: April 27, 2015 - jomushi
Post Tags: Afrika Kusini, Raia, Vurugu
Vurugu za Ubaguzi Afrika Kusini; Nigeria Yaondoa Mabalozi Wake

TAIFA la Nigeria limewaita mabalozi wake waishio nchini Afrika Kusini kurejee nyumbani kufuatia mashambulizi ya kibaguzi dhidi ya wenyeji yanayofanyika Afrika Kusini. Mpaka sasa watu…

Continue Reading....

African Space Research Program

Posted on: April 21, 2015April 21, 2015 - admin
African Space Research Program

Vijana (Wanasayansi) nchini Uganda, wameanzisha African Space Research Program na mpaka sasa wamemaliza project mbili ya kwanza ni military craft, na ya pili ni PROJECT…

Continue Reading....

Nchi za Afrika Zaweka Msimamo Dhidi ya IMF na WB

Posted on: April 20, 2015 - jomushi
Post Tags: Afrika, IMF, WB
Nchi za Afrika Zaweka Msimamo Dhidi ya IMF na WB

WAKATI Mikutano ya Benki ya Dunia na Shirika la kifedha la kimataifa ikiendelea hapa Mjini Washington Dc. Mawaziri wa fedha wameweka misimamo yao juu ya…

Continue Reading....

Rais Zuma Awatembelea Raia wa Kigeni Wanaoshambuliwa Afrika Kusini

Posted on: April 20, 2015 - jomushi
Post Tags: Afrika Kusini, Rais Zuma
Rais Zuma Awatembelea Raia wa Kigeni Wanaoshambuliwa Afrika Kusini

RAIS Jacob Zuma amewatembelea watu walioathirika na ghasia hizo, mauwaji pamoja na kuibwa kwa mali zao huku akiahidi kukabiliana vilivyo na wimbi la mashambulio hayo.…

Continue Reading....

Shamy Tours and Travel Agent Yatoa Zawadi Mgahawani

Posted on: April 8, 2015April 8, 2015 - jomushi
Post Tags: Shamy Tours and Travel Agent, Sweden
Shamy Tours and Travel Agent Yatoa Zawadi Mgahawani

Meneja Mwendeshaji wa kampuni ya Shamy Tours and Travel Agent Zanzibar, Bw. Khamis Mwinjuma Simba akitoa maelezo ya shughuli mbalimbali zinazofanywa na kampuni hiyo katika…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari