Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Kimataifa
  • Page 20

Category: Habari za Kimataifa

Kiongozi wa Upinzania Auwawa Burundi

Posted on: May 25, 2015 - jomushi
Post Tags: Burundi, Siasa
Kiongozi wa Upinzania Auwawa Burundi

KIONGOZI wa chama kidogo cha upinzani nchini Burundi ameuawa kwa kupigwa risasi. Mwili wa kiongozi huyi, Zedi Feruzi pamoja na wa mlinzi wake ulipatikana nje…

Continue Reading....

Kipindupindu Chawatesa Wakimbizi wa Burundi Tanzania

Posted on: May 22, 2015 - jomushi
Post Tags: Kipindupindu, tanzania, Wakimbizi
Kipindupindu Chawatesa Wakimbizi wa Burundi Tanzania

UMOJA wa mataifa unasema kuwa zaidi ya visa 400 vya ugonja wa kipindupindu vinaripotiwa kila siku miongoni mwa wakimbizi wa Burundi walio nchini Tanzania. Maelfu…

Continue Reading....

Al Shaabab Wavamia Msikiti Kenya, Auwawa kwa Risasi Burundi

Posted on: May 21, 2015 - jomushi
Post Tags: Al Shaabab, Kenya, Msikiti, Risasi Burundi
Al Shaabab Wavamia Msikiti Kenya, Auwawa kwa Risasi Burundi

VIONGOZI Kaskazini mwa Kenya wamesema wapiganaji wa kundi la kigaidi kutoka Somalia la Al Shaabab wamevamia msikiti mmoja eneo la Garissa kwa masaa kadhaa. Wapiganaji…

Continue Reading....

Rais Nkurunziza Awafukuza Kazi Mawaziri Watatu…!

Posted on: May 18, 2015 - jomushi
Post Tags: Mawaziri, Rais Nkurunziza
Rais Nkurunziza Awafukuza Kazi Mawaziri Watatu…!

IKIWA ni siku chache baada ya Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza, kunusurika kupinduliwa madarakani amewafukuza kazi mawaziri watatu katika Serikali yake. Hata hivyo bado maandamano…

Continue Reading....

Jeshi Linalomtii Rais Nkurunziza Lazima ‘Mapinduzi’ Burundi

Posted on: May 15, 2015 - jomushi
Post Tags: Burundi, Jeshi, Mapinduzi
Jeshi Linalomtii Rais Nkurunziza Lazima ‘Mapinduzi’ Burundi

JESHI linalomtii Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza jana lilifanikiwa kuzima mapinduzi ya kijeshi yaliyopangwa kufanywa na wanajeshi wafuasi wa Meja Jenerali Godefroid Niyombare aliyetangaza kupitia…

Continue Reading....

David Cameron Ashinda Uchaguzi, Mpinzani Wake Ajiuzulu

Posted on: May 8, 2015 - jomushi
Post Tags: David Cameron, Uchaguzi, Uingereza
David Cameron Ashinda Uchaguzi, Mpinzani Wake Ajiuzulu

WAZIRI Mkuu wa Uingereza, David Cameron amepata ushindi mkubwa katika uchaguzi mkuu uliofanyika nchini humo jana. Chama chake cha Conservative kimepata viti 330 huku kile…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari