Shirika la kutetea haki za binaadam la Amnesty International limeitaka serikali ya Misri kufanya uchunguzi kamili baada ya maofisa wa juu wa kijeshi kukiri kuwa…
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
NATO imeshambulia nyumba ya Gaddafi
TAARIFA kutoka katika Jeshi la NATO zinaeleza vikosi vya jeshi hilo vimeangamiza minara ya walinzi katika eneo la nyumba ya Kanali Muammar Gaddafi wa Libya…
Continue Reading....KIJANA ATUMIA FARASI KUEPUKA BEI KALI ZA MAFUTA MAREKANI!
Na Rungwe Jr. California, CA Juma hili Kamera ya dev.kisakuzi.com ilikuwa maeneo ya Lompoc, California, na kubahatika kukutana na kijana aliyefahamika kwa jina moja…
Continue Reading....Mali ya Gaddafi yafichuliwa
HATIMAYE eneo kulikofichwa mamilioni ya dola mali ya serikali ya Libya, imebainika. Hii ni baada ya kufichuliwa kwa stakabadhi ya mamlaka ya uwekezaji nchini humo.…
Continue Reading....Viongozi G8 kukutana leo Ufaransa
Viongozi wa dunia wanatarajiwa kukutana katika eneo Deauville nchini Ufaransa, kwenye kongamano la mataifa manane yenye utajiri mkubwa zaidi duniani G8. Mkutano wa leo unatokea…
Continue Reading....