WANAHARAKATI wa kutetea haki za binadamu nchini Syria wanasema maofisa wa vikosi vya usalama wamewaua watu saba, akiwemo mwanamke mmoja aliyekufa kutokana na mateso. Watu…
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
Umoja wa Ulaya kuisaidia Libya matibabu
UMOJA wa Ulaya umesema uko tayari kupeleka msaada wa matibabu nchini Libya. Utapeleka mahitaji yanayotakika kwa dharura katika hospitali nchini humo, kuwasaidia raia wengi waliojeruhiwa…
Continue Reading....Maofisa wa Polisi Burkina Faso wafungwa
MAOFISA polisi watatu wametiwa gerezani baada ya kukutwa na hatia ya kuhusika kwenye mauaji ya mwanafunzi kutoka Burkina Faso mwezi Februari, na kuchochea ghasia kwa…
Continue Reading....Joice ataka kifo cha mumewe kichunguzwe
Makamu wa Rais wa Zimbabwe Joice Maimu ametoa wito wa kufanywa uchunguzi wa kifo cha mume wake Solomon kilichotokea wiki iliyopita kwenye shamba lao. Aliyekuwa…
Continue Reading....Kesi dhidi ya Strauss-Kahn yafutwa
JAJI wa Mahakama mjini New York amefuta kesi ya dhuluma za ngono dhidi ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Fedha Duniani, Dominique Strauss-Kahn. Hatua hiyo…
Continue Reading....Gaddafi: Aluta Kontinua, nitapambana hadi kifo
KANALI Muammar Gaddafi ameapa kupigana na waasi hadi kifo au ushindi, ripoti zimesema, baada ya waasi kudhibiti makazi yake mjini Tripoli. Televisheni inayomuunga mkono Kanali…
Continue Reading....