Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Kimataifa
  • Page 13

Category: Habari za Kimataifa

Papa Francis Awasili Kenya, Ahimiza Amani na Uwazi…!

Posted on: November 26, 2015November 26, 2015 - jomushi
Post Tags: Baba Mtakatifu
Papa Francis Awasili Kenya, Ahimiza Amani na Uwazi…!

BABA Mtakatifu Francis amewasili nchini Kenya kuanza ziara yake Afrika kwa kuhimiza umoja, amani, uwazi, kuwathamini vijana na kuyatunza mazingira. Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki…

Continue Reading....

Custom Essay Online Writing Help at $10.55/page

Posted on: November 25, 2015April 22, 2016 - jomushi
Custom Essay Online Writing Help at $10.55/page

Essay writing may prove to be fun if one clearly understands the mechanics and writing styles with greater proficiency. However, if these basic essay writing…

Continue Reading....

Kenyatta Awafukuza Kazi Mawaziri, Aunda Upya Wizara

Posted on: November 25, 2015 - jomushi
Post Tags: Kenya
Kenyatta Awafukuza Kazi Mawaziri, Aunda Upya Wizara

RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta amelifanyia mabadiliko baraza lake la mawaziri kufuatia shinikizo la Wananchi kudai kwamba kuna idadi kubwa ya mawaziri wake wanatuhumiwa na…

Continue Reading....

Watano Kushtakiwa kwa Kutoa Siri za Papa

Posted on: November 25, 2015 - jomushi
Post Tags: Baba Mtakatifu
Watano Kushtakiwa kwa Kutoa Siri za Papa

WATU watano wamefunguliwa mashtaka Makao Makuu ya Kanisa Katoliki, Vatican kwa tuhuma za kutoa na kuchapisha nakala za siri zinazoonesha usimamizi mbaya katika Ofisi hiyo…

Continue Reading....

Wazanzibari Marekani Wasaka Suluhu ya Zanzibar ‘White House’

Posted on: November 24, 2015 - jomushi
Wazanzibari Marekani Wasaka Suluhu ya Zanzibar ‘White House’

Na Mwandishi Wetu Washington  WAKATI vikao vya siri vya kutafuta suluhu ya mzozo wa kisiasa visiwani Zanzibar vikiwa vimeripotiwa, juhudi za kuupatia ufumbuzi mzozo huo zimehamia…

Continue Reading....

Mashambulizi Paris: Mshukiwa Ajilipua, Mmoja Auwawa Saba Wakamatwa

Posted on: November 18, 2015November 22, 2015 - jomushi
Post Tags: Paris Ufaransa
Mashambulizi Paris: Mshukiwa Ajilipua, Mmoja Auwawa Saba Wakamatwa

MWANAMKE mmoja amejilipua huku mshukiwa akiuwawa kwa kupigwa risasi wakati wa operesheni ya polisi katika mtaa mmoja wa Saint Denis jijini Paris. Tayari watu saba…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari