
RAIS wa Marekani anatarajiwa kuzuru Bara la Afrika mwezi ujao ambako atazuru mataifa ya Senegal, Afrika kusini na Tanzania. Katika taarifa msemaji wa Ikulu ya Rais Jay Carney amesema Obama anapangiwa kufanya ziara hiyo kati ya tarehe 28 mwezi ujao hadi tarehe 3 mwezi Julai ambako atakutana na viongozi wa serikali, biashara na wa mashirika [...]

POLISI nchini Ugandan wamevamia ofisi za magazeti kufuatia taarifa kwamba Rais Yeweri Museveni anamuandaa mwanawe wa kiume kumrithi urais. Taarifa zinasema vituo viwili vya Redio pia vilivamiwa limeandika Gazeti la Serikali la New Vision. Wiki iliyopita magazeti ya Uganda yalidai kuwa zipo njama za kuwaua wale watakao pinga mpango wa Rais Museveni kumuandaa mwanawe kuchukua [...]

WATU wane wamekufa na 13 kujeruhiwa katika mkanyagano ndani ya Kanisa la Kievangelisti nchini Ghana. Taarifa zinazohusianaafrika magharibiAjali hiyo ilitokea pale waumini walipoania kufikia maji matakatifu katika tawi la kanisa la Synagogue Church of All Nations (SCOAN) katika Mji Mkuu, Accra. Ripoti zinasema maelfu ya watu walikuwa wamekwenda kanisani humo. Kanisa hilo liloanzishwa na kasisi [...]

TAKRIBAN wapiganaji 30, wa waasi nchini Nigeria, wameuawa kwenye mashambulio ya anga yaliyofanywa na jeshi la serikali, Kaskazini Mashariki mwa nchini hiyo. Msemaji wa jeshi la Nigeria, amesema, ndege za kivita na helicopta zilitumika kushambulia kambi kadhaa wa waasi hao. Aidha ameiambia BBC kuwa ndege moja ilishambuliwa kwa kombora na waasi hao lakini ilifanikiwa kurejea [...]

SERIKALI ya Nigeria imetuma kikosi kikubwa cha wanajeshi pamoja na silaha kukabiliana na wapiganaji wa kikundi cha Boko Haram katika majimbo matatu ya Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo. Taarifa kutoka kwa serikali ilisema kuwa nia ya kutumwa kwa wanajeshi hao ni kuweza kudhibiti wa sehemu ambazo inaaminika ziko chini ya udhibiti wa wapiganaji hao, pamoja [...]

MSEMAJI wa Rais wa Nigeria, Davip Okupi amesema rais Good Luck Johnthan ametangaza hali ya hatari katika majimbo matatu kaskazini mwa nchi. Akifafanua zaidi ameongeza kuwa hatua ya Rais Johnthan kufanya uamuzi wa kutangaza hali ya hatari ni kuzuia taifa hilo kutumbukia kwenye vita. Msemaji huyo Davip Okupi ameambia BBC kwamba magavana wa majimbo ya [...]

POLISI wanawatafuta wagonjwa karibia arobaini waliotoroka kutoka hospitali ya watu wenye matatizo ya kiakili, mjini Nairobi ya Mathare. Wagonjwa hao wanasemekana waliwashinda nguvu walinzi wao na kutoroka. Zogo hilo lilizuka katika hospitali ya Mathare baada ya kutokea hali ya sintofahamu iliyowahusisha wafungwa arobaini wanaume. Baadhi ya vyombo vya habari vinasema kuwa wagonjwa hao walikuwa wanateta [...]