Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Burudani
  • Page 30

Category: Burudani

DNA: naipenda sana Familia Yangu.

Posted on: December 5, 2015December 5, 2015 - Yohana Chance
DNA: naipenda sana Familia Yangu.

Kukutana DNA mzee wa Banjuka Raia wa nchi ya Kenya akitanua na familia ya katika nchi za mambele. mwanamuziki DNA aliyetamba na Kibao cha Banjuka…

Continue Reading....

JUVE YAISAMBARATISHA LAZIO

Posted on: December 5, 2015 - Yohana Chance
JUVE YAISAMBARATISHA LAZIO

Baada ya kuanza vibaya katika msimu wa ligi ya Italia, timu ya Juventus ambayo ipo nafasi ya nne, kocha wao anasisitiza hawawezi kuchukua ubingwa kwa…

Continue Reading....

Manchester United Wasaka Saini ya Cavani

Posted on: December 5, 2015December 6, 2015 - Yohana Chance
Manchester United Wasaka Saini ya Cavani

Tetesi za usajili nchini uingereza zimeanzia Old Trafford ambapo ripoti kutoka klabuni hapo zinaeleza kuwa Manchester United wanamuhitaji Edinson Cavani katika Usajili wa dirisha dogo.…

Continue Reading....

Nikki Wa Pili Akiachia Ngoma Yake Mpya Inayoitwa Baba Swalehe

Posted on: December 4, 2015 - admin
Post Tags: Baba Swalehe, Nikki Wa Pili, Nikki Wa Pili - Baba Swalehe New Song 2015
Nikki Wa Pili Akiachia Ngoma Yake Mpya Inayoitwa Baba Swalehe

Msanii Kutoka Kundi La Hip Hop La Weusi Company Nikki Wa Pili Akiachia Ngoma Yake Mpya Inayoitwa Baba Swalehe

Continue Reading....

KIKAPU ARUSHA YAKABILIWA NA UKATA.

Posted on: December 4, 2015December 4, 2015 - Yohana Chance
KIKAPU ARUSHA YAKABILIWA NA UKATA.

Chama cha Mpira wa Kikapu Mkoa wa Arusha (ARBA), Kipo katika hali ya ukata mkubwa kiasi ambacho kilisababisa kushindwa kwenda kushiriki Michuano ya Taifa yaliyomalizika…

Continue Reading....

KIKAPU ARUSHA WATEMBEZA BAKULI.

Posted on: December 4, 2015 - Yohana Chance

Chama cha Mpira wa Kikapu Mkoa wa Arusha (ARBA), Kipo katika hali ya ukata mkubwa kiasi ambacho kilisababisa kushindwa kwenda kushiriki Michuano ya Taifa yaliyomalizika…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari