mwanamuziki nyota kutoka Marekani Natalie Cole aliyetamba na nyimbo maarufu kama vile Unforgettable , amefariki akiwa na umri wa miaka 65. Mwanamuziki huyo aliyeshinda tuzo…
Continue Reading....Category: Burudani
Mchekeshaji Bill Cosby Atiwa Hatiani Kwa Dhuluma ya Kimapenzi
Waendesha mashtaka katika jimbo la Pennsylvania Nchini Marekani wamemfungulia mashtaka ya kwanza mchekeshaji nguli Bill Cosby . Cosby ameshtakiwa kwa makosa ya dhuluma za kimapenzi…
Continue Reading....Filamu ya The Force Awakens Yavunja Rekodi Ya Dunia
Filamu mpya ya Star Wars: The Force Awakens imevunja rekodi na kuwa filamu iliyozoa $1bn (£674m) kwa kasi zaidi duniani. Filamu hiyo ya JJ Abrams…
Continue Reading....Nyimbo za Christmas Zinazotamba Duniani Kwa Sasa
Katika kipindi hiki cha Sikukuu kila kona unapopita utasikia nyimbo za Chrismas zinapigwa na hata wengine kudiliki kuzihifadhi kwenye simu zao zikitumika kama milio ya…
Continue Reading....Janet Jackson Kufanyiwa Upasuaji,aahirisha ziara Zake
Mwanamuziki na nyota kutoka Marekani Janet Jackson ameahirisha ziara yake ya kimuziki ya Unbreakable ili kufanyiwa upasuaji. Jackson amesema madaktari wake wamemwambia anahitaji kufanyiwa upasuaji…
Continue Reading....