Mwanamuziki wa muziki wa Rap kutoka Marekani kwa jina maarufu Mos Def ameamrishwa kuondoka Afrika Kusini katika kipindi cha siku 14 baada ya kukamatwa kwa…
Continue Reading....Category: Burudani
Wasanii Watakao Wania Tuzo ya Oscar Wapatikana
Waigizaji na waelekezi wa filamu watakaopigania tuzo kuu za sanaa duniani za Oscar wametangazwa na kwa mwaka wa pili hakuna watu weusi walioteuliwa. Filamu ya…
Continue Reading....Saratani Yasababisha Kifo Cha Mume wa Celine Dion
Rene Angelil, mume wa mwanamuziki mashuhuri duniani Celine Dion, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 73, mwanamuziki huyo ametangaza. Bw Angelil, aliyemuoa Dion mwaka…
Continue Reading....Filamu ya Wema ni Akiba Kuingia Sokoni
Filamu ya Wema ni akiba yake mwanamama Jennifer Mgendi imekamilika. Akiongea na blogu hii Jennifer amesema filamu hiyo ambayo imewashirikisha wasanii na watumishi mbalimbali ni…
Continue Reading....Filamu ya Revenant imepata tuzo Kwa Ubora Wa Kuigiza
Filamu ya Revenant imepata tuzo katika hafla ya mwaka huu ya Golden Globes baada ya kushinda taji kuu la filamu yenye mchezo bora wa kuigiza.…
Continue Reading....David Bowie Aaga Dunia Kwa Kusumbuliwa na Saratani
Mwimbaji maarufu David Bowie, ameaga dunia akiwa na umri miaka 69, baada ya kuugua kwa muda mrefu ugonjwa wa saratani. Mwanawe Duncan Jones amethibitisha kifo…
Continue Reading....