Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Burudani
  • Page 154

Category: Burudani

Filamu Mpya ‘My Man Sehemu ya 2’ Kuingia Sokoni

Posted on: September 26, 2012 - jomushi
Filamu Mpya ‘My Man Sehemu ya 2’ Kuingia Sokoni

Filamu Mpya Ya My Man Sehemu ya 2 inatarajiwa kuingia Sokoni muda si mrefu kutokana na kumalizika kwa kazi nzima ya utengenezaji wake. Filamu hii…

Continue Reading....

Mchezo wa Bondia Hatarini Kupoteza Asili Yake

Posted on: September 25, 2012September 25, 2012 - jomushi
Mchezo wa Bondia Hatarini Kupoteza Asili Yake

Na Onesmo Ngowi MASUMBWI kwa jina lingine waweza kuita ndondi au ngumi na kwa majina ya mitaani ndogwa, mawe n.k. ni mchezo unapoendwa sana na…

Continue Reading....

Mabondia Bingwa Uzito wa Kati Tanzania na Uganda Kupambana

Posted on: September 23, 2012 - jomushi

Na Mwandishi Wetu BONDIA Bingwa uzito wa kati (middle) kg 72.5 wa nchini Uganda, Med Sebyala (Bingwa Uzito wa Kati Uganda- UPBC) na Bingwa wa…

Continue Reading....

IBF Yateua Makamu Rais Wanne Kuongoza Bondia Kimataifa

Posted on: September 22, 2012September 22, 2012 - jomushi
IBF Yateua Makamu Rais Wanne Kuongoza Bondia Kimataifa

Na Mwandishi Wetu SHIRIKISHO la Ngumi la Kimataifa (IBF) limepanua wigo wake wa kusimamia na kuratibu mchezo wa ngumi Bara la Afrika, Mashariki ya kati,…

Continue Reading....

Serengeti Fiesta Mkoani Mbeya Haikamatiki, Wakazi Wafurika Kushuhudia

Posted on: September 22, 2012 - jomushi
Serengeti Fiesta Mkoani Mbeya Haikamatiki, Wakazi Wafurika Kushuhudia

 Wasanii wa Filamu hapa nchini Aunt Ezekiel, Wema pamoja na Shilole wakiwasikiliza mashabiki wao wanataka nini. Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Diamond akiwaimbisha…

Continue Reading....

Sherehe ya Send Off ya Veronica Stima Mkoani Tabora

Posted on: September 22, 2012 - jomushi
Sherehe ya Send Off ya Veronica Stima Mkoani Tabora

Bibi Harusi mratajiwa Veronica Stima akiwa amesindikiza na kaka yake John Stima kuingia katika ukumbi kwa ajili ya sherehe ya kumuaga (Send Off) iliyofanyika Student…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari