Blogs Tanzania | News |  Michuzi ya Habari leo

 

Category archives for: Burudani

Hadija Said Kifaa Kipya cha Miss Utalii Tanzania

MSHINDI WA TAJI LA MISS UTALII TANZANIA 2012/13 HADIJA SAID MISS UTALII MOROGORO KATIKATI AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA LUCY NOEL MISS UTALII DAR ES SALAAM KUSHOTO NA MSHINDI WA TATU KULIA THELESIA KILOMO MISS UTALII VYUO VIKUU

 MSHINDI WA TAJI LA MISS UTALII TANZANIA 2012/13 HADIJA SAID MISS UTALII MOROGORO AKISHWA TAJI LA USHINDI NA MGENI RASMI KWA NIABA YA MKUU WA MKOA WA TANGA LUTENI KANALI MSTAAFU CHIKU GALAWA, MKUU WA WILAYA YA TANGA HALIMA BENDEGO  KUTOKA KUSHOTO NI MISS UTALII KUTOKA MKOA WA KATAVI ASHA RAMADHANI ALIYE SHINDA NAFASI YA NNE, LUCY [...]

TASWA FC Yawachapa Mabondia 2-1

Kocha wa Mchezo wa Masumbwi Nchini, Rajabu Mhamila 'Super D' akitoa maelekezo kwa mabondia wenzake jinsi ya kuwakabili wachezaji wa TASWA FC.

Redd’s Miss Tanga, Kupatikana Juni 22

Mkurugezi wa  Kampuni ya DATK Intertaimeint, Asha Kigundula

Na Mwandishi Wetu SHINDANO la kumtafuta malkia wa Mkoa wa Tanga mwaka huu “Redd’s Miss Tanga 2013″ linatarajiwa kufanyika Juni 22 kwenye Uwanja wa Mkwakwani, mkoani humo. Akizungumza na mtandao huu jana Mkurugezi wa Kampuni ya DATK Intertaimeint, ambao ni waandaaji wa shindano hilo, Asha Kigundula, alisema kuwa warembo wote wanaoshiriki kinyang’anyiro hicho tayari wameanza [...]

Rumadha: Kutoka Uswahilini Hadi Ughaibuni

Sensei Rumadha na mkewe Anita pamoja na mdogo wake Rumadha, Kibwana Fundi katika shangwe

SENSEI Rumadha Fundi amefanikiwa kujiongezea taaluma kutoka Usensei wa Karate na Mwalimu wa Yoda na sasa kufikia kuwa mtaalamu wa tiba za binadamu upande wa mapafu! Huyu si mwingine bali ni Mtanzania mtaalamu wa michezo ya Karate na Yoga Sensei Rumadha Fundi (3rd Dan, Black Belt) mwenye maskani yake kule nchini  Marekani.  Mai 17, 2013 Sensei [...]

Bondia Jonas Segu Aweka Historia Thailand, Apigwa…!

Bondia Jonas Segu akicheza na Bingwa wa IBF Bara la Asia Pacific, Patomsuk Pathompothong

          TANZANIA imeweka historia mpya kwenye ngumi za kulipwa nchini Thailand baada ya mabondia wake kuwa wanapigwa kila mara wanapokwenda kuiwakilisha nchi na bara la Afrika. Safari hii JEMBE, kijana mtanashati anayeinukia kwenye masumbwi Jonas Segu kutoka katika ukumbi wa mazoezi wa Respect Gym Boxing Club ya Mabibo Loyola chini ya kocha Christopher Mzazi ameonyesha [...]

Linah na Barnaba ‘Kufukuzwa’ THT…!

Msanii Linah katika pozi

Na Andrew Chale KUELEKEA shoo maalumu ya Miaka 13, ya mwanamuziki nguli wa bongo fleva nchini na kiongozi wa bendi yenye msisimko mkubwa ya ‘Machozi Band’, Judith Wambura ‘Lady Jay Dee’ au Jide’  huenda kwa upande wa wasanii wa Nyumba ya Vipaji ya THT, Linah Sanga na Barnaba  mwaka huu ukawa mchungu kwao kufuatia kuwepo [...]

Francis Cheka Shopping for an Opponent Outside Africa for His 4th Defense

Francis Cheka

THE most celebrated “IBF Continental Africa Champion” Francis Cheka of Tanzania is shopping for an opponent outside Africa continent for his optional defense of his title for the fourth time. Cheka’s desire for foreign boxers derived from the dismal performances exhibited by Africa boxers he had met so far. “I have yet to see any African boxer who [...]

 

 

Log in |

 

Google+