Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 922

Category: Habari za Nyumbani

Tantrade yatangaza viingilio vya maonesho ya Saba Saba

Posted on: June 28, 2012 - jomushi
Tantrade yatangaza viingilio vya maonesho ya Saba Saba

*Watu wazima kulipa 2500/-, watoto 500/- *Tiketi za kupaki magari madogo 4000/-, maroli ni 40000/- MAMLAKA ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imetangaza viingilio vipya…

Continue Reading....

Mtangamano EAC muhimu vita dhidi ya Silaha Haramu

Posted on: June 27, 2012 - jomushi
Mtangamano EAC muhimu vita dhidi ya Silaha Haramu

Na Mark Mugisha, EANA-Arusha KUIMARISHA mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ni njia pekee kwa nchi wanachama wa jumuiya hiyo ya kujitoa katika mipaka…

Continue Reading....

Twiga Bancorp yanyakuwa tuzo ya dhahabu utoaji huduma bora

Posted on: June 27, 2012 - jomushi

 Afisa Mtendaji Mkuu wa Twiga Bancorp, Hussein Mbululo (kulia) akipokea Tuzo ya utoaji bora wa huduma  ijulikanayo kama ‘Century International Gold Quality ERA Award’, kutoka…

Continue Reading....

Mahakama Kuu yawaonya madaktari kuhusu mgomo

Posted on: June 26, 2012 - jomushi
Mahakama Kuu yawaonya madaktari kuhusu mgomo

Na Mwandishi Wetu MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kitengo cha kazi leo kimetoa onyo kwa Chama cha Madaktari nchini (MAT) kuzingatia amri ya Mahakama hiyo iliyotolewa…

Continue Reading....

Waislamu wamng’ang’ania Dk Ndalichako

Posted on: June 26, 2012 - jomushi
Waislamu wamng’ang’ania Dk Ndalichako

Na Shomari Binda, wa Binda News-Musoma BARAZA Kuu la Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, limeonya vikali kitendo cha Katibu Mkuu wa Baraza la Mitihani…

Continue Reading....

Kituo cha afya chakatiwa umeme, wajawazito wajifungua na chemli

Posted on: June 26, 2012 - jomushi
Kituo cha afya chakatiwa umeme, wajawazito wajifungua na chemli

Na Joachim Mushi, dev.kisakuzi.com-Kishapu KITUO cha Afya kilichopo Kata ya Songwa, Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga kimekatiwa umeme kwa takribani miezi saba sasa kikidaiwa bili…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari