Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 921

Category: Habari za Nyumbani

Lisa Jensen mgeni rasmi Redd’s Miss Mara 2012

Posted on: June 29, 2012June 29, 2012 - jomushi
Lisa Jensen mgeni rasmi  Redd’s Miss Mara 2012

Na Mwandishi wetu Musoma, Mnyange anayekwenda kuiwakilisha Nchi katika mashindao ya miss world 2012 Nchini China mapema mwezi wa nane na miss Mara mwaka 2006…

Continue Reading....

Baba wa Dk. Ulimboka aangua kilio MOI

Posted on: June 29, 2012 - jomushi
Baba wa Dk. Ulimboka aangua kilio MOI

Na Joachim Mushi, dev.kisakuzi.com BABA wa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari, mzee Steven Mwaitenda amejikuta akiangua kilio kwa uchungu mbele ya wanaharakati ambao walimtembelea mwanae,…

Continue Reading....

Wabunge Dodoma wafagilia huduma za Vodacom

Posted on: June 28, 2012 - jomushi
Wabunge Dodoma wafagilia huduma za Vodacom

Na Mwandishi Wetu, Dodoma WABUNGE wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wazidi kufurahia huduma za malipo ya baada kwa wateja mmoja mmoja za…

Continue Reading....

Wananchi Songwa waenda kutibiwa na maji hospitalini

Posted on: June 28, 2012 - jomushi
Wananchi Songwa waenda kutibiwa na maji hospitalini

Na Joachim Mushi, dev.kisakuzi.com Kishapu SHIDA ya maji inayoikabili Wilaya ya Kishapu imeendelea kuwabebesha wananchi mzigo pasipo kutarajia, hasa wagonjwa kwani kwa sasa wananchi wa…

Continue Reading....

Simanjiro walia na Serikali

Posted on: June 28, 2012 - jomushi
Simanjiro walia na Serikali

WANANCHI wa wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara wamelalamikia kitendo cha kuhamishwa kwa mkuu wa wilaya hiyo Bw. Peter Toima aliyeteuliwa mwezi May mwaka huu na…

Continue Reading....

Sakata la Mgomo wa madaktari lachukua sura mpya, daktari atekwa ajeruhiwa vibaya

Posted on: June 28, 2012June 28, 2012 - jomushi
Sakata la Mgomo wa madaktari lachukua sura mpya, daktari atekwa ajeruhiwa vibaya

Na Mwandishi Wetu, Moshi SAKATA la Mgomo wa madaktari unaoendelea nchini kote limechukua sura mpya baada ya watu wasiojulikana kumteka katibu wa chama cha madaktari…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari