Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 900

Category: Habari za Nyumbani

Serikali yazuia mgomo wa walimu

Posted on: July 29, 2012 - jomushi
Serikali yazuia mgomo wa walimu

SERIKALI kupitia Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi Julai 27, 2012 majira ya saa tisa alasiri, ilitoa notisi ya saa arobaini na nane (48) ya kusudio…

Continue Reading....

Askofu ampogeza Rais Kikwete kwa maendeleo ya Kigoma

Posted on: July 27, 2012 - jomushi
Askofu ampogeza Rais Kikwete kwa maendeleo ya Kigoma

ASKOFU wa Jimbo la Kigoma la Kanisa Katoliki, Baba Askofu Protase Rugambwa amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kwa…

Continue Reading....

Usalama wa Taifa wapinga kumdhuru Dk Stephen Ulimboka

Posted on: July 27, 2012 - jomushi
Usalama wa Taifa wapinga kumdhuru Dk Stephen Ulimboka

IDARA ya Usalama wa Taifa wa Tanzania imepinga kuhusika kwenye tuhuma zinazotolewa na baadhi ya vyombo vya habari kuwa inahusika na sakata la kutekwa, kuteshwa…

Continue Reading....

Rais Kikwete azindua Karakana ya Precision Air Dar

Posted on: July 27, 2012 - jomushi

Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Ndege la Precision Air, Michael Shirima akimkabidhi zawadi Rais Dk. Jakaya Kikwete mara baada ya kuzindua rasmi karakana ya…

Continue Reading....

John Komba arejea matibabuni kutoka India

Posted on: July 27, 2012 - jomushi
John Komba arejea matibabuni kutoka India

Na Bashir Nkoromo MKURUGENZI wa Kundi la Tanzania One Theatre (TOT) ambaye pia ni Mbunge wa Mbinga Magharibi, John Komba amerejea kutoka India ambako amefanyiwa…

Continue Reading....

Wake wa marais Afrika watakiwa kuwajengea uwezo wanawake na watoto

Posted on: July 27, 2012 - jomushi
Wake wa marais Afrika watakiwa kuwajengea uwezo wanawake na watoto

Na Mwandishi Maalum, Abuja WAKE wa Marais wa Afrika wametakiwa kuwajengea uwezo wanawake na watoto wa kike kwa kuhakikisha kuwa wanapata elimu ya kutosha ambayo…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari