Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 899

Category: Habari za Nyumbani

Kilichozimwa Bungeni hiki hapa

Posted on: July 30, 2012 - Rungwe Jr.
Kilichozimwa Bungeni hiki hapa

SPIKA wa Bunge, Anna Makinda, mnamo 17 Julai, aliamuru sehemu ya hotuba ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kuhusu makadirio ya matumizi ya Wizara ya…

Continue Reading....

‘Mwanahalisi’ ni mchochezi au mfichua maovu na ubovu wa serikali?

Posted on: July 30, 2012 - Rungwe Jr.
‘Mwanahalisi’ ni mchochezi au mfichua maovu na ubovu wa serikali?

RAMADHANI Ighondu, afisa wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), ndiye ametajwa kuwa mtekelezaji wa mkakati wa utekaji wa Dk. Steven Ulimboka, MwanaHALISI limegundua. Afisa…

Continue Reading....

Vodacom yazindua Ramadhan Care & Share

Posted on: July 30, 2012 - jomushi
Vodacom yazindua Ramadhan Care & Share

Continue Reading....

RC Kilimanjaro aziasa kamati za sensa Wilaya

Posted on: July 30, 2012 - jomushi
RC Kilimanjaro aziasa kamati za sensa Wilaya

Na Mwandishi Wetu, Moshi SERIKALI mkoani Kilimanjaro, imeziagiza kamati zinazoratibu zoezi la sensa ya watu na makazi wilaya, kuzingatia vigezo vilivyowekwa ili kuweza kuwapata makarani…

Continue Reading....

Serikali kuzifungia kambi za kitalii zinazo kiuka sheria

Posted on: July 30, 2012 - jomushi
Serikali kuzifungia kambi za kitalii zinazo kiuka sheria

Na Mwandishi Wetu, Serengeti SERIKALI imeadhimia kuzichukulia hatua na kuzifunga kambi zote za kitalii ambazo zimo katika maeneo ya Jumuiya ya Hifadhi za Wanyama pori…

Continue Reading....

Watoto 1,000 yatima wasaidiwa na WAMA Tanzania

Posted on: July 29, 2012 - jomushi
Watoto 1,000 yatima wasaidiwa na WAMA Tanzania

Na Mwandishi Maalum, Abuja ZAIDI ya watoto wa kike na kiume 1000 yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi mikoa yote nchini wamenufaika na ufadhili wa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari