Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 891

Category: Habari za Nyumbani

Kangoye kuanza na mikakati ya benki ya vijana

Posted on: August 9, 2012August 9, 2012 - jomushi
Kangoye kuanza na mikakati ya benki ya vijana

Na Shomari Binda Musoma, Uanzishwaji wa benki itakayokuwa ikitoa mikopo yenye masharti nafuu na isiyo na riba kubwa kwa vijana imedaiwa kuwa itakuwa ndio suruhisho…

Continue Reading....

Amakweli duniani “Hujafa…hujaumbika”

Posted on: August 9, 2012 - jomushi
Amakweli duniani “Hujafa…hujaumbika”

Na Devota Mwachang’a BEATRICE Shimende Kantimbo (48) anaomba msaada wa pesa kwa ajiri ya matibabu ya maradhi ambayo vipimo vya kitabibu vimegundua kuwa ni matende…

Continue Reading....

Watendaji wa vijiji kuwasaka wazazi wanaowaficha watoto wenye ulemavu

Posted on: August 9, 2012August 9, 2012 - jomushi
Watendaji wa vijiji kuwasaka wazazi wanaowaficha watoto wenye ulemavu

Na Mwandishi Wetu, Same SERIKALI wilayani Same mkoani Kilimanjaro imewataka watendaji wa kata na vijiji kuwasaka wazazi wanaoendeleza vitendo vya kikatili vya kuwaficha watoto wenye…

Continue Reading....

Wanafunzi wa darasa la tatu Korogwe wasomea uchochoroni

Posted on: August 8, 2012 - jomushi
Wanafunzi wa darasa la tatu Korogwe wasomea uchochoroni

Na Joachim Mushi, Korogwe WANAFUNZI wa darasa la tatu katika Shule ya Msingi Silabu iliyopo Wilaya ya Korogwe, mkoani Tanga wanasomea kwenye uchochoro unaotenganisha kati…

Continue Reading....

Kamata kamata ya wezi kazi za wasanii Dodoma

Posted on: August 8, 2012 - jomushi
Kamata kamata ya wezi kazi za wasanii Dodoma

Mkurungezi wa Kampuni ya MSAMA PROMOTION, Alex Msama pichani mwenye fulana akiwaonesha waandishi wa habari (hawapo pichani) CD za video na Audio za muziki wa…

Continue Reading....

Wasafirishaji mizigo EAC wahofia gharama na urasimu

Posted on: August 8, 2012 - jomushi
Wasafirishaji mizigo EAC wahofia gharama na urasimu

Na James Gashumba, EANA KUMEKUWEPO na maendeleo makubwa katika kupunguza vikwazo vya kibiashara lakini gharama kubwa za usafirishaji zinaibuka kama kikwazo kipya katika kufanya biashara…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari