Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 887

Category: Habari za Nyumbani

Madereva wasusia ushuru wa Manispaa ya Moshi

Posted on: August 16, 2012 - jomushi
Madereva wasusia ushuru wa Manispaa ya Moshi

Na Mwandishi Wetu, Moshi MADEREVA wa magari madogo na makubwa wa Kituo Kikuu cha Mabasi mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro wamekataa kulipa ushuru mpya uliopangwa na…

Continue Reading....

Moshi yakumbwa na Uhaba wa Chakula

Posted on: August 16, 2012 - jomushi
Moshi yakumbwa na Uhaba wa Chakula

Na Florah Temba WANANCHI 81,769 wa kata 12 za maeneo ya tambarare wilaya ya moshi mkoani Kilimanjaro wanakabiliwa na tatizo la Njaa kutokana na Ukame…

Continue Reading....

Wanahabari wapigwa Msasa kuandika Habari za Afya

Posted on: August 16, 2012 - jomushi
Wanahabari wapigwa Msasa kuandika Habari za Afya

Na Shomari Binda MUUNGANO wa vilabu vya waandishi wa habari nchini UTPC, umenza kutoa mafunzo maalum kuandika habari za afya kwa waandishi wa habari katika…

Continue Reading....

Dk Shein awataka wana-Marumbi kumaliza mgogoro

Posted on: August 16, 2012 - jomushi
Dk Shein awataka wana-Marumbi kumaliza mgogoro

Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amefanya mazungumzo na wananchi wa kijiji…

Continue Reading....

Vitambulisho vya raia EAC kutumika kama paspoti za kusafiria

Posted on: August 16, 2012 - jomushi
Vitambulisho vya raia EAC kutumika kama paspoti za kusafiria

Na Mwandishi wa EANA, Arusha KUNA uwezekano kwamba vitambulisho vya kitaifa walivyonavyo raia wa Afrika Mashariki vinaweza siku moja kutumika kama hati mbadala ya kusafiria…

Continue Reading....

Zaidi ya yatima 1500 wanufaika na misaada ya Vodacom Foundation

Posted on: August 16, 2012 - jomushi
Zaidi ya yatima 1500 wanufaika na misaada ya Vodacom Foundation

*Ni kuipitia kampeni ya Care and Share ZAIDI ya watoto yatima 1500 wamenufaika na kampeni ya Care & Share mwaka huu, ikiwa ni mpango uliochini…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari