Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 856

Category: Habari za Nyumbani

Unguja Itakuwa na Umeme wa Uhakika – Dk. Shein

Posted on: October 11, 2012 - jomushi
Unguja Itakuwa na Umeme wa Uhakika – Dk. Shein

Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuzinduliwa kwa ulazaji waya wa pili…

Continue Reading....

Mawaziri wa Fedha Jumuiya ya Madola Wakutana Japan

Posted on: October 11, 2012 - jomushi
Mawaziri wa Fedha Jumuiya ya Madola Wakutana Japan

Na Mwandishi Maalumu, Tokyo, Japan MAWAZIRI wa Fedha wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola wamekutana Oktoba 10, 2012 jijini Tokyo, kwa madhumuni ya kupitia…

Continue Reading....

ARV,s Feki Zamsimamisha Kazi Mkurugenzi MSD

Posted on: October 11, 2012 - jomushi
ARV,s Feki Zamsimamisha Kazi Mkurugenzi MSD

Na Aron Msigwa, MAELEZO-Dar es Salaam SERIKALI imemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa nchini (MSD), ili kupisha uchunguzi dhidi yao kufuatia tuhuma za…

Continue Reading....

Waandishi wa Habari Watimuliwa Kwenye Ziara ya Waziri wa Maji

Posted on: October 11, 2012 - jomushi
Waandishi wa Habari Watimuliwa Kwenye Ziara ya Waziri wa Maji

Na Mwandishi Wetu, Musoma MAMLAKA ya Majisafi na taka Manispaa ya Musoma mkoani wa Mara (MUWASA) imewashusha waandisha wa habari njiani waliokuwa katika ziara ya…

Continue Reading....

Rais Kibaki Agoma Kuidhinisha Marupurupu Manono kwa Wabunge, Asema ni Usaliti..!

Posted on: October 10, 2012 - jomushi
Rais Kibaki Agoma Kuidhinisha Marupurupu Manono kwa Wabunge, Asema ni Usaliti..!

RAIS wa Kenya, Mwai Kibaki amekataa kuidhinisha mipango ya wabunge wa taifa hilo kujipatia kitita kikubwa cha pesa kama marupurupu ya kuhudumu kama wabunge. Wabunge…

Continue Reading....

Ripoti ya Chanzo Kifo cha Mwangosi Yazua Mazito

Posted on: October 10, 2012October 10, 2012 - jomushi
Ripoti ya Chanzo Kifo cha Mwangosi Yazua Mazito

KAMATI iliyoundwa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk Emmanuel Nchimbi kuchunguza kifo cha mwandishi wa habari wa Kituo cha Channel Ten, Daud Mwangosi imeweka…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari