Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Tanzania Dkt. Alberic Kacou akizungumza wakati wa uzinduzi wa ‘Education for All Global Report’ ya mwaka 2012 inayoandaliwa…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Mitandao ya Kijamii Kumtafuta Bingwa wa Kero kwa Wateja
JUMUIYA ya watumiaji wa huduma mbalimbali nchini kupitia mitandao ya kijamii ya Facebook na Twitter imezindua rasmi shindano la kusaka kampuni zinazotoa huduma na bidhaa…
Continue Reading....Nyika Ampinga Spika Makinda, Ni Kuhusu Tuhuma za Rushwa Dhidi ya Wabunge
IFUATAYO ni kauli ya Mbunge wa Ubungo (CHADEMA), John Mnyika aliyoitoa kutofautiana na Spika Anne Makinda…! “Sijakubaliana na maamuzi ya leo (jana) Spika kuhusu tuhuma…
Continue Reading....Makinda Atoa Ripoti ya Tuhuma za Rushwa kwa Wabunge Kamati ya Nishati na Madini
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE LA TANZANIA Tel: +255 22 21122065/7 Fax No. +255 22 2112538 Email: tanzparl@parliament.go.tz Ofisi ya Bunge S.L.P. 941 DODOMA…
Continue Reading....Epiq Bongo Star Search 2012 ni Walter Chilambo
MSHINDI wa Shindano la kumtafuta msanii mwenye kipaji cha muziki maarufu kama Epiq Bongo Star Search (EBSS) hatimaye amejulikana usiku huu ndani ya Ukumbi wa…
Continue Reading....Dk Mwakyembe Acharuka, Avunja Bodi ya Usimamizi wa Bandari
WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe ameivunja Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA), baada ya kufuta uteuzi wa wajumbe wote wa…
Continue Reading....