Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 745

Category: Habari za Nyumbani

JK Aenda Mozambique Kuhudhuria Kikao cha SADC, Atuma Rambirambi Kifo cha Askofu Amedeus

Posted on: February 9, 2013February 9, 2013 - jomushi
JK Aenda Mozambique Kuhudhuria Kikao cha SADC, Atuma Rambirambi Kifo cha Askofu Amedeus

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amekwenda Mozambique leo kwa ziara ya kikazi ya siku mbili ambako atahudhuria Mkutano wa Wakuu wa…

Continue Reading....

Dk Shein Aomba ICT Kuitangaza Karafuu ya Zanzibar Katika Soko la Kimataifa

Posted on: February 9, 2013 - jomushi
Dk Shein Aomba ICT Kuitangaza Karafuu ya Zanzibar Katika Soko la Kimataifa

Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amekutana na ujumbe kutoka Kituo cha Biashara…

Continue Reading....

Askofu Laizer wa KKKT Kuzikwa Kanisani Ijumaa

Posted on: February 8, 2013 - jomushi
Askofu Laizer wa KKKT Kuzikwa Kanisani Ijumaa

ALIYEKUWA Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Kati, Dk. Thomas Laizer aliyefariki juzi mkoani Arusha anatarajiwa kuzikwa Ijumaa kanisani.…

Continue Reading....

Dk Bilal Akiwa Ziarani Jijini Washngton DC

Posted on: February 8, 2013 - jomushi
Dk Bilal Akiwa Ziarani Jijini Washngton DC

     Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Watanzania waishio…

Continue Reading....

Runinga Hupoteza Nguvu za Kiume

Posted on: February 8, 2013 - jomushi
Runinga Hupoteza Nguvu za Kiume

WANAUME wanaotumia muda wa saa tatu na zaidi kwa siku kutazama runinga wanapoteza nguvu za kiume ukilinganisha na wale wanaotazama runinga mara chache. Utafiti uliofanywa…

Continue Reading....

Handeni, Kilindi Wazimia kwa Njaa

Posted on: February 8, 2013February 8, 2013 - jomushi
Handeni, Kilindi Wazimia kwa Njaa

WAKATI wananchi wa Wilaya ya Ngorongoro, mkoani Arusha njaa ikisababisha baadhi ya wanaume kukimbia familia zao, Wilaya ya Handeni na Kilindi mkoani Tanga, baadhi ya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari