Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 744

Category: Habari za Nyumbani

Wagombea Urais Kenya Kupambana Katika Mdahalo

Posted on: February 11, 2013 - jomushi
Wagombea Urais Kenya Kupambana Katika Mdahalo

WAGOMBEA urais nchini Kenya wanatarajia kuumana katika mdahalo utakaowakutanisha viongozi hao na kuoneshwa moja kwa moja kupitia runinga. Mdahalo huo ambao ni wa kwanza kabisa…

Continue Reading....

Waziri Mkuu Pinda Ashauri Kilimanjaro Kutumika Dhidi ya Mapambano ya Malaria

Posted on: February 11, 2013 - jomushi
Waziri Mkuu Pinda Ashauri Kilimanjaro Kutumika Dhidi ya Mapambano ya Malaria

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Mlima Kilimanjaro unaweza kutumika vizuri zaidi kwenye vita ya kupambana na ugonjwa wa malaria kwa wanamichezo na watu mashuhuri kuupanda…

Continue Reading....

SMZ Kupambana na Wanaodhalilisha Watoto

Posted on: February 11, 2013 - jomushi
SMZ Kupambana na Wanaodhalilisha Watoto

Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein amewataka waumuni wa dini ya Kiislamu…

Continue Reading....

Kampuni 22 Zajiunga Kuikabili Malaria Kupitia Michezo

Posted on: February 11, 2013February 11, 2013 - jomushi
Kampuni 22 Zajiunga Kuikabili Malaria Kupitia Michezo

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema makampuni yapatayo 22 yamejiunga na Mpango wa Kupambana na Malaria kupitia sekta binafsi na sekta ya michezo (Malaria Safe Companies)…

Continue Reading....

Zitto Kabwe Afunguka Kufutwa kwa POAC, Ataka Makinda Adhibitiwe

Posted on: February 10, 2013 - jomushi
Zitto Kabwe Afunguka Kufutwa kwa POAC, Ataka Makinda Adhibitiwe

Kufutwa kwa POAC; Anna Makinda adhibitiwe au tusahau Uwajibikaji nchini KATIKA mkutano wa Kumi wa Bunge la Kumi la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Spika…

Continue Reading....

Baada ya Bunge ‘kutupa’ Hoja ya Mnyika Awapelekea Wananchi

Posted on: February 10, 2013 - jomushi
Baada ya Bunge ‘kutupa’ Hoja ya Mnyika Awapelekea Wananchi

Waraka wa Kwanza kwa mwaka 2013 wa Mbunge kwa Wananchi “Maji; kwa Nguvu ya Umma”: WAHESHIMIWA Wananchi wenzangu, Katiba ya Nchi pamoja na ubovu wake…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari