Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 717

Category: Habari za Nyumbani

Balozi Kagasheki Awaasa Wandishi wa Kike

Posted on: March 12, 2013 - jomushi
Balozi Kagasheki Awaasa Wandishi wa Kike

Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki amewataka waandishi wa Habari wa Kike kutumia kalamu zao kuandika mambo yanayohamasisha amani na…

Continue Reading....

Josephat Torner Kushiriki Katika Filamu ya Albino

Posted on: March 12, 2013 - jomushi
Josephat Torner Kushiriki Katika Filamu ya Albino

NDUGU zangu wapendwa nawasalimu katika jina la alie juu yeye atupae uzima. Naomba niwajulishe Watazania wote waishio UK kuwa ndugu yetu Josephat Torner alieshiriki katika…

Continue Reading....

Mke Amuuwa Mumewe kwa Kisu kwa Wivu wa Mapenzi

Posted on: March 11, 2013 - jomushi
Mke Amuuwa Mumewe kwa Kisu kwa Wivu wa Mapenzi

Thehabari.com, Moshi MWANAMKE mmoja aliyefahamika kwa jina la Happyness Mrema (28) amemchoma kisu mumewe Audiphas Mrema (30) na kumuuwa kutokana na ugomvi wa wivu wa…

Continue Reading....

Katibu Kinana Aanza Kazi Iliyompeleka China

Posted on: March 11, 2013 - jomushi
Katibu Kinana Aanza Kazi Iliyompeleka China

Na Bashir Nkoromo, China KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amewasili leo Machi 11, 2013 nchini China kuanza ziara ya kikazi ya siku kumi, kwa…

Continue Reading....

Msafara wa Kinana Kuelekea China Watua Ethiopia

Posted on: March 11, 2013 - jomushi
Msafara wa Kinana Kuelekea China Watua Ethiopia

Msaidizi wa Katibu Mkuu wa CCM, Edward Mpogolo (kushoto) na Ofisa anayeshughulikia Siasa za Kimataifa, Makao Makuu ya CCM, Amos Siantemi wakiratibu taratibu za safari…

Continue Reading....

Taarifa ya TEF Juu ya Hali ya Absalom Kibanda

Posted on: March 10, 2013 - jomushi
Taarifa ya TEF Juu ya Hali ya Absalom Kibanda

1. Kibanda leo (jana) ameingizwa theater ili kuanza kufanyiwa upasuaji na kujengwa sura baada ya kupungua kwa majeraha na uvimbe vilivyokuwa katika sehemu mbalimbali za…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari