Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 712

Category: Habari za Nyumbani

Injini za Kisasa Zahitajika Kuboresha Usafiri wa Treni

Posted on: March 18, 2013 - jomushi
Injini za Kisasa Zahitajika Kuboresha Usafiri wa Treni

Na Hussein Makame na Genofeva Matemu-Maelezo WAZIRI wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe amesema kuwa Serikali inahitaji injini za kisasa ili kuboresha usafiri wa treni kwa…

Continue Reading....

Waziri Mkuu Pinda Akusanya Milioni 31 Kwenye Harambee

Posted on: March 18, 2013 - jomushi
Waziri Mkuu Pinda Akusanya Milioni 31 Kwenye Harambee

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ameongoza harambee ya papo kwa papo na kufanikiwa kukusanya sh. milioni 31.5 zikiwa ni ahadi na fedha taslimu kwa ajili ya…

Continue Reading....

CCM Vyuo Vikuu Watoa Tamko

Posted on: March 17, 2013 - jomushi
CCM Vyuo Vikuu Watoa Tamko

MKOA maalum wa vyuo vikuu, kanda ya Dar es salaam, umefanya kikao cha kujadili mipango na mikakati mbalimbali ya kuimarisha Mkoa huo na Chama kwa…

Continue Reading....

Wanawake Watakiwa Kujitokeza Mabaraza ya Katiba

Posted on: March 17, 2013March 17, 2013 - jomushi
Wanawake Watakiwa Kujitokeza Mabaraza ya Katiba

MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP) kwa kushirikiana na wanaharakati wa masuala ya haki na usawa wa Kijinsia, haki za Binadamu, Demokrasia, Utawala bora na Maendeleo…

Continue Reading....

UN Tanzania Yazindua Ripoti ya Maendeleo 2013, 40 Zapiga hatua

Posted on: March 16, 2013March 16, 2013 - jomushi
UN Tanzania Yazindua Ripoti ya Maendeleo 2013, 40 Zapiga hatua

  Mgeni rasmi Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Peniel Lyimo akitoa hotuba ya uzinduzi wa Ripoti ya Maendeleo Duniani ya mwaka 2013 –…

Continue Reading....

Rais Kikwete Achangisha M.255 za Kanisa Katoliki Kigurunyembe

Posted on: March 16, 2013March 16, 2013 - jomushi
Rais Kikwete Achangisha  M.255 za Kanisa Katoliki Kigurunyembe

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, a Jakaya Mrisho Kikwete ameongoza harambee ambayo ilifanyika Alhamisi, Machi 14, 2013, iliyowezesha kuchangiwa kwa kiasi cha Sh.…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari