Category: Habari za Nyumbani
Waziri Pinda Akutana na Papa Fransis wa Kwanza
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amekutana na Papa Francis wa Kwanza na kufanya naye mazungumzo ya faragha ikiwa ni pamoja na kuwasilisha salamu za pongezi kutoka…
Continue Reading....TANEXA Yalalamikia Wingi wa Beria Mpakani mwa Tanzania na Uganda
Na Mwandishi Wetu, Bukoba SHIRIKISHO la Wasafirishaji Bidhaa nje ya nchi (TANEXA) wamelalamikia kukithiri kwa vituo vya ukaguzi wa magari (beria) na mizigo vilivyopo barabarani,…
Continue Reading....Rais wa China Kuzinduwa Ukumbi wa Mwalimu J. Nyerere
Hassan Silayo-Maelezo RAIS wa China, Xi Jinping anatarajia kufungua Jengo la Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa la Julius Nyerere Convertion Centre lililopo jijini Dar-es-Salaam linalomilikiwa…
Continue Reading....TFDA Watakiwa Kutobweteka na Mafanikio
Na Frank Shija –Maelezo RAIS Jakaya Mrisho Kikwete amewataka watendaji wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) kutobweteka na mafanikio wanayoyapata bali waendelee kufanya kazi…
Continue Reading....Lwakatare Ashtakiwa kwa Ugaidi, Kupanga Kumdhuru Mwanahabari
MKUU wa Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare na mwenzake Ludovick Rwezaura wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu waki kabiliwa…
Continue Reading....