Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 688

Category: Habari za Nyumbani

Catherine Foundation Yatembelea Kituo cha Yatima Matumaini Village Dodoma

Posted on: April 24, 2013 - jomushi
Catherine Foundation Yatembelea Kituo cha Yatima Matumaini Village Dodoma

MKE wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda na Mkurugenzi wa Catherine Foundation, Catherine Magige wakiwakikabidhi zawadi mbalimbali kwa watoto wanaolelewa kwenye kituo cha Matumaini cha mjini Dodoma.  ***** …

Continue Reading....

Ujumbe wa Tanzania Katika Chakula cha Pamoja Baada ya Mkutano Washington DC

Posted on: April 24, 2013 - jomushi
Ujumbe wa Tanzania Katika Chakula cha Pamoja Baada ya Mkutano Washington DC

Continue Reading....

Sumaye Awataka Walimu Kuandaa Raia Wema Shuleni

Posted on: April 24, 2013April 24, 2013 - jomushi
Sumaye Awataka Walimu Kuandaa Raia Wema Shuleni

Waziri mkuu mstaafu, Mh. Frederick Sumaye akizungumza kwenye sherehe za mahafali ya sita ya wahitimu 1029 wa chuo cha ualimu mjini Singida. Kulia ni kaimu…

Continue Reading....

Mawaziri ‘Watoroka’ Bunge Dodoma

Posted on: April 24, 2013 - jomushi
Mawaziri ‘Watoroka’ Bunge Dodoma

TABIA ya utoro bungeni imejirudia tena mwaka huu wakati Bunge likijadili Bajeti ya Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika. Safari hii utoro huo unawahusisha mawaziri…

Continue Reading....

Mbunge Halima Mdee Atoa Mil. 20 Kuchangia Kompyuta Shule za Msingi Kawe

Posted on: April 23, 2013 - jomushi
Mbunge Halima Mdee Atoa Mil. 20 Kuchangia Kompyuta Shule za Msingi Kawe

MBUNGE wa Jimbo la Kawe kupitia tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Halima Mdee ameahidi kuchangia jumla ya sh. milioni 20 ikiwa ni…

Continue Reading....

Rais Kikwete Azungumza Amani na Viongozi wa Dini

Posted on: April 23, 2013 - jomushi
Rais Kikwete Azungumza Amani na Viongozi wa Dini

Na Mwandishi Wetu VIONGOZI wa dini wamewataka waumini kote nchini kulinda amani na umoja uliopo ili nchi isije ikaingia kwenye mgawanyiko wa kidini na kuleta…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari