Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 686

Category: Habari za Nyumbani

Ngoma Africa Yawatakia heri ya Muungano Watanzania Wote

Posted on: April 26, 2013 - jomushi
Ngoma Africa Yawatakia heri  ya Muungano Watanzania Wote

BENDI ya muziki wa dansi “Ngoma Africa Band” a.k.a FFU yenye maskani nchini  Ujerumani inawatakia kila la heri na fanaka ya MIAKA 49 YA MUUNGANO…

Continue Reading....

Adolf ‘Brian’ Tadeous Rwekagende Afariki Dunia New Jersey

Posted on: April 26, 2013 - jomushi
Adolf ‘Brian’ Tadeous Rwekagende Afariki Dunia New Jersey

TUNAOMBA kutoa taarifa kuwa kijana aliyejulikana kwa jina la Adolf, Brian au Tadeous Rwekagende amefariki dunia New Jersey, USA. Alikua anasema alisoma Tambaza na alikua…

Continue Reading....

‘Watakiwa Kutumia Rasilimali Kupambana na Ukimwi’

Posted on: April 25, 2013 - jomushi
‘Watakiwa Kutumia Rasilimali Kupambana na Ukimwi’

Na Magreth Kinabo, Maelezo JAMII imeshauriwa kuwekeza rasilimali kwa ajili ya mapambano dhidi ya ugonjwa wa Malaria. Kauli hiyo ilitolewa na Waziri wa Afya na Ustawi…

Continue Reading....

Rais Dk Shein Awashangaa Wanaobeza Muungano

Posted on: April 25, 2013 - jomushi
Rais Dk Shein Awashangaa Wanaobeza Muungano

Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewashaangaa…

Continue Reading....

Ruvu Shooting, Simba Sasa Kucheza Mei 5

Posted on: April 25, 2013 - jomushi
Ruvu Shooting, Simba Sasa Kucheza Mei 5

MECHI ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Ruvu Shooting na Simba iliyokuwa ichezwe Aprili 25 mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam…

Continue Reading....

Vurugu Kubwa Zazuka Liwale na Arusha

Posted on: April 25, 2013 - jomushi
Vurugu Kubwa Zazuka Liwale na Arusha

UHARIBIFU mkubwa wa mali umefanywa juzi usiku Mjini Liwale, Lindi baada ya wananchi wenye hasira kuchoma moto nyumba za viongozi waandamizi, makao makuu ya Halmashauri…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari