Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 681

Category: Habari za Nyumbani

Gala Dinner ya Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Habari Duniani

Posted on: May 4, 2013 - jomushi
Gala Dinner ya Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Habari Duniani

Mkurugenzi wa MISA-TAN Bw. Tumaini Mwailenge akizungumza na waalikwa kwenye Gala Dinner ya kuadhimisha siku ya Uhuru wa habari Duniani iliyoenda sambamba na uzinduzi wa…

Continue Reading....

Rais Kikwete Awapa ‘Shavu’ Prof. Peter Msolla, Justine Mwandu

Posted on: May 4, 2013 - jomushi
Rais Kikwete Awapa ‘Shavu’ Prof. Peter Msolla, Justine Mwandu

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Prof. Peter Msolla (MB) kuwa Mshauri Mkuu wa Makamu wa Rais. Taarifa iliyotolewa Mei…

Continue Reading....

Rais Andry Rajoelina Awasili Tanzania kwa Mazungunzo na JK

Posted on: May 4, 2013May 5, 2013 - jomushi
Rais Andry Rajoelina Awasili Tanzania kwa Mazungunzo na JK

RAIS wa Serikali ya Mpito ya Madagascar Andry Rajoelina amewasili mjini Dar es Salaam jioni ya Mei 3, 2013 kwa ziara ya kikazi ya siku…

Continue Reading....

Katibu Mkuu EAC Afungua Kongamano la Uhuru wa Vyombo vya Habari Arusha

Posted on: May 4, 2013 - jomushi
Katibu Mkuu EAC Afungua Kongamano la Uhuru wa Vyombo vya Habari Arusha

Washiriki wa kongamano la  siku mbili la Uhuru wa Habari Duniani wakijiandikisha kabla ya kuanza rasmi kwa mkutano wa Siku mbili katika kuadhimisha Siku ya…

Continue Reading....

Rais Kikwete Awapongeza Wanabahari Kuadhimisha Siku ya Uhuru wa Habari Duniani

Posted on: May 4, 2013 - jomushi
Rais Kikwete Awapongeza Wanabahari Kuadhimisha Siku ya Uhuru wa Habari Duniani

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewapongeza wanahabari, wadau wa habari na Tasnia nzima ya habari nchini kwa kuadhimisha Miaka…

Continue Reading....

Africa Let’s Worship Waandaa Tamasha la Kusifu, Kuabudu

Posted on: May 4, 2013 - jomushi
Africa Let’s Worship Waandaa Tamasha la Kusifu, Kuabudu

TAMASHA kubwa la kusifu na kuabudu linatarajia kufanyika leo katika ukumbi wa BCIC mbezi beach kuanzia saa 3 usiku hadi saa 12 alfajiri lenye  lengo…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari