Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 499

Category: Habari za Nyumbani

Wanaodaiwa na HELSB Sasa Kuweza Kulipa kwa M-Pesa

Posted on: March 20, 2014March 26, 2014 - jomushi
Post Tags: M-Pesa
Wanaodaiwa na HELSB Sasa Kuweza Kulipa kwa M-Pesa

Frank Mvungi – Maelezo BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HELSB) imeanzisha utaratibu mpya wa kurejesha mikopo kwa njia ya kutumia mtandao.…

Continue Reading....

CCM Yazungumza, Yasisitiza Serikali Mbili Katiba Mpya

Posted on: March 20, 2014March 26, 2014 - jomushi
Post Tags: CCM
CCM Yazungumza, Yasisitiza Serikali Mbili Katiba Mpya

Na Mwandishi Wetu CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa kauli ikiwa ni siku mbili baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba nchini Jaji Joseph…

Continue Reading....

Wazee Waipongeza Redio Pangani Kukienzi Kishwahili

Posted on: March 20, 2014 - jomushi
Wazee Waipongeza Redio Pangani Kukienzi Kishwahili

Mzee Bakari (mwenye shati ya bluu) wa Kijiji cha Madanga wilaya ya Pangani, akipongeza Kituo cha Redio cha Pangani FM kuendeleza Kiswahili kupitia kipindi cha…

Continue Reading....

Tume ya Mabadiliko ya Katiba Yapendekeza Uraia wa Nchi Moja

Posted on: March 20, 2014March 20, 2014 - admin
Post Tags: jaji warioba, tume ya katiba, uraia pacha
Tume ya Mabadiliko ya Katiba Yapendekeza Uraia wa Nchi Moja

Licha ya Rasimu ya Katiba kupendekeza muundo wa Serikali tatu, imetamka kuwa uraia utaendelea kuwa ni wa nchi moja ambayo ni Jamhuri ya Muungano wa…

Continue Reading....

JK Kulihutubia Bunge la Kihistoria Ijumaa Dodoma

Posted on: March 19, 2014 - jomushi
JK Kulihutubia Bunge la Kihistoria Ijumaa Dodoma

Na Magreth Kinabo, Maelezo-Dodoma   RAIS wa Tanzania, Jakaya Kikwete anatarajiwa kulihutubia Bunge Maalum la Katiba pamoja na kulizinduwa Machi 21, 2014 mjini Dodoma. Kauli…

Continue Reading....

Usichokijua Kuhusu Afya Yako na Dk Ally Mzige, Mazoezi Huongeza Nguvu za Kiume/Kike..!

Posted on: March 19, 2014 - jomushi
Usichokijua Kuhusu Afya Yako na Dk Ally Mzige, Mazoezi Huongeza Nguvu za Kiume/Kike..!

Na Mwandishi Wetu WATU wengi hawapendi kufanya mazoezi japokuwa yanaumuhimu mkubwa kwa mwili wa binadamu. Dk. Ally Mzige anasema mazoezi ya viungo kwa mwili wa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari