Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 451

Category: Habari za Nyumbani

Ofisi ya Takwimu Yawasilisha Mpango Mkakati wa Kilimo kwa Wadau

Posted on: June 27, 2014 - jomushi
Ofisi ya Takwimu Yawasilisha Mpango Mkakati wa Kilimo kwa Wadau

Na. Aron Msigwa –MAELEZO. 27/6/2014. Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS)  inakamilisha  Mpango mkakati  wa Takwimu za Kilimo wa mwaka 2014/15  mpaka 2018/19  utakaoiwezesha Ofisi…

Continue Reading....

EAC Yaanza Kampeni za Kuhamasisha Jamii Mipakani

Posted on: June 27, 2014 - jomushi
EAC Yaanza Kampeni za Kuhamasisha Jamii Mipakani

Na Denis Bizimana, EANA Mpango wa kanda wa kuelimisha jamii kufahamu faida na fursa zilizopo katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa wananchi wanaoishi maeneo…

Continue Reading....

Ukeketaji Wanawake ni Udhalilishaji – Waziri Sophia Simba

Posted on: June 26, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Ukeketaji Wanawake ni Udhalilishaji
Ukeketaji Wanawake ni Udhalilishaji – Waziri Sophia Simba

SERIKALI imesema kitendo cha baadhi ya makabila kuendeleza mila za kuwakeketa wanawake na watoto ni ukatili mkubwa ambao umekuwa na madhara kiafya kwa anayetendewa. Kauli hiyo…

Continue Reading....

APRM Yapata CEO Mpya, Ni Dk. Ibrahim Mayaki

Posted on: June 26, 2014 - jomushi
Post Tags: APRM Yapata CEO Mpya, Dk. Ibrahim Mayaki, featured
APRM Yapata CEO Mpya, Ni Dk. Ibrahim Mayaki

Na Mwandishi Wetu, Malabo MPANGO wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM) umempata Mtendaji wake Mkuu mpya atakayeongoza ofisi ya taasisi hiyo katika ngazi ya Bara…

Continue Reading....

Wajumbe wa Tume ya Operesheni Tokomeza Waapishwa

Posted on: June 25, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Wajumbe Tume ya Operesheni Tokomeza
Wajumbe wa Tume ya Operesheni Tokomeza Waapishwa

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, Juni 24, 2014, amewaapisha Wajumbe na Katibu wa Tume ya Kuchunguza Operesheni Tokomeza katika hafla fupi…

Continue Reading....

Uzinduzi Ujenzi Jengo la Mwalimu Nyerere Wafanyika

Posted on: June 25, 2014 - jomushi
Uzinduzi Ujenzi Jengo la Mwalimu Nyerere Wafanyika

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari