Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 450

Category: Habari za Nyumbani

JK Aufagilia Uhusiano Kati ya Afrika Kusini na Tanzania

Posted on: July 2, 2014 - jomushi
Post Tags: Uhusiano Kati ya Afrika Kusini na Tanzania
JK Aufagilia Uhusiano Kati ya Afrika Kusini na Tanzania

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amesifia uhusiano mzuri uliopo kati ya Tanzania na Afrika Kusini akisema kuwa uhusiano huo haujapata…

Continue Reading....

Pinda Awataka Viongozi wa Dini Kuombea Uchaguzi Serikali za Mitaa

Posted on: July 1, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Viongozi wa Dini
Pinda Awataka Viongozi wa Dini Kuombea Uchaguzi Serikali za Mitaa

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amewaomba viongozi wa dini kote nchini na wananchi waungane pamoja ili kuombea uchaguzi mkuu wa viongozi wakuu wa Rais, wabunge na…

Continue Reading....

Waziri Pinda Azungumzia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Posted on: July 1, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Waziri Pinda Azungumzia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Waziri Pinda Azungumzia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao unatarajiwa kufanyika Oktoba mwaka…

Continue Reading....

Serikali Inadanganya Kuhusu Akaunti ya Tegeta Escrow – Zitto

Posted on: June 29, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Tegeta Escrow Account
Serikali Inadanganya Kuhusu Akaunti ya Tegeta Escrow – Zitto

KWA mara nyingine serikali kupitia viongozi na watendaji wake akiwamo Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), wamedai kwamba kiasi cha Dola za Marekani milioni 250 zilizopaswa…

Continue Reading....

Dk Kikwete Akutana na Wataalam wa Malaria wa IHI

Posted on: June 29, 2014 - jomushi
Post Tags: Wataalam wa Malaria wa IHI
Dk Kikwete Akutana na Wataalam wa Malaria wa IHI

RAIS Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Dk. Ally Olot, mtafiti wa chanjo ya malaria na kiongozi wa watafiti wa Ifakara Health Institute (IHI) Malabo, Equatorial…

Continue Reading....

TAMWA Kutoa Elimu kwa Jamii Kupambana na Ulevi Kupindukia

Posted on: June 28, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, TAMWA kupambana na Ulevi Kupindukia
TAMWA Kutoa Elimu kwa Jamii Kupambana na Ulevi Kupindukia

KITUO cha Usuluhishi (CRC) kinachofanya kazi chini ya Chama cha Wanahabari Wanawakecha (TAMWA) kimejipanga kutoa elimu kwa jamii kuhakikisha kinapambana na matumizi ya pombe kupindukia…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari