RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amevipongeza vyama vinne vikuu vya siasa nchini ambavyo vimeanzisha majadiliano ya kutafuta namna wajumbe waliosusia Bunge…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Rais Kikwete Azitaka Halmashauri Kutenga Ardhi kwa NHC
RAIS Jakaya Mrisho Kikwete ameziagiza Halmashauri zote nchini kutenga ardhi kwa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kwa ajili ya kujenga nyumba za bei nafuu…
Continue Reading....Uholanzi Yawaongezea Machungu Wabrazili, Yawachapa 3-0
TIMU ya taifa ya Uholanzi imeongeza machungu kwa timu ya taifa ya Brazil katika fainali za kombe la dunia baada ya kuichapa timu hiyo mabao…
Continue Reading....Salma Kikwete Apinga Ndoa za Utotoni na Taasisi ya Segal Family
Na Anna Nkinda – Maelezo, Arusha JAMII imetakiwa kushirikiana kwa pamoja kupiga vita ndoa za utotoni hii ikiwa ni pamoja na kuhakikisha kuwa sera na…
Continue Reading....Serikali Kujenga Reli ya Kati, Pinda Awaambia Watanzania Uingereza
WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda amesema Serikali ina mpango wa kujenga reli mpya ya kutoka Dar es Salaam hadi Mwanza kupitia mikoa na…
Continue Reading....Serikali Yaombwa Kudhibiti Utengenezaji Pombe Kienyeji
Na Mwandishi Wetu, Rombo SERIKALI imeombwa kudhibiti utengenezaji holela wa pombe za kienyeji katika Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro ambao umekuwa hauzingatii afya ya mtumiaji.…
Continue Reading....