Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 413

Category: Habari za Nyumbani

Tanzania Mwenyeji Mkutano Mkuu Taasisi za Kodi Afrika

Posted on: September 11, 2014 - jomushi
Post Tags: Mkutano Mkuu, Taasisi za Kodi Afrika
Tanzania Mwenyeji Mkutano Mkuu Taasisi za Kodi Afrika

Na Frank Mvungi – Maelezo MAKAMU wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wakati wa mkutano Mkuu wa Taasisi za Kodi Afrika…

Continue Reading....

Rais Kikwete Akagua Utayari wa Tanzania Kukabiliana na Ebola

Posted on: September 11, 2014September 11, 2014 - jomushi
Post Tags: Ebola, Utayari wa Tanzania
Rais Kikwete Akagua Utayari wa Tanzania Kukabiliana na Ebola

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, Septemba 9, 2014, alikagua huduma na vifaa, pamoja na maandalizi ya kukabiliana na ugonjwa hatari wa…

Continue Reading....

JK, Museveni Wakutana Faragha Dar

Posted on: September 11, 2014 - jomushi
Post Tags: Dar, Rais Kikwete, Yoweri Museveni
JK, Museveni Wakutana Faragha Dar

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, Septemba 10, 2014, alifanya mazungumzo ya faragha na mgeni wake, Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda,…

Continue Reading....

Samuel Sitta Akomaa na Bunge la Katiba

Posted on: September 11, 2014 - jomushi
Post Tags: bunge la katiba, Samuel Sitta
Samuel Sitta Akomaa na Bunge la Katiba

MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta ‘amekomaa’ kuhakikisha Bunge Maalumu la Katiba linafanya kazi kwa kasi na kukamilisha kila kitu ifikapo tarehe yake…

Continue Reading....

Wajawazito Wajifungue Katika Mazingira Salama…!

Posted on: September 11, 2014 - jomushi
Post Tags: Kujifungua, Salama, Wajawazito
Wajawazito Wajifungue Katika Mazingira Salama…!

Na Anna Nkinda – Maelezo ILI kuhakikisha vifo vya wajawazito vinapungua ni lazima wajifungue katika mazingira salama huku kukiwa na upatikanaji wa kutosha wa vifaa…

Continue Reading....

Waziri Mkuu Pinda Awaasa Wanasheria Tanzania

Posted on: September 10, 2014 - jomushi
Post Tags: Pinda, Wanasheria, Waziri Mkuu
Waziri Mkuu Pinda Awaasa Wanasheria Tanzania

  WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amewataka wanasheria kutoka nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki waweke mbele maslahi ya wananchi wa kawaida wakati wanapoingia mikataba na…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari