KWA mujibu wa takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO) zilizotolewa mwaka 2011, Vifo vilivyotokana na magojwa ya moyo nchini Tanzania vilifikia idadi ya watu…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Breaking Newz; Mbowe Ashinda Tena Uenyekiti CHADEMA
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amefanikiwa kutetea nafasi yake tena ya kukiongoza chama hicho baada ya kushinda…
Continue Reading....Serikali Kuhakiki Vyama vya Kijamii
Frank Mvungi Serikali imedhamiria kuanza zoezi la kuhakiki vyama vya kijamii ili kuboresha huduma zinazotolewa na vyama hivyo hapa nchini tangu kuanzishwa kwake. Hayo ya…
Continue Reading....Wabunge Wanawake Wasisitiza Usawa wa Kijinsia Katiba Mpya
Na Benedict Liwenga, MAELEZO-Dodoma. KATIKA JUHUDI za kuleta usawa wa kijinsia na kuinua hadhi ya wanawake, Serikali imefanya jitihada kubwa katika masuala ya kiuchumi, kisiasa…
Continue Reading....100 Washiriki Jukwaa la Katibu Mkuu EAC
Na Mtuwa Salira wa EANA, Arusha WAJUMBE zaidi ya 100 kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wanahudhuria mkutano wa siku mbili wa…
Continue Reading....Wanahabari Mbeya Kutangaza Vivutio Malawi na Zambia
BAADHI ya Waandishi wa habari Mkoa wa Mbeya wanaotarajia kufanya ziara ya kimafunzo nchini Malawi na Zambia wameagwa rasmi na viongozi wa Serikali. Waandishi hao…
Continue Reading....